Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Kwa hiyo kasuku anaongea sana kuliko binadamu?
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Kwaio mtu asipoolewa anakua haongei sana?
 
Usimwamini mwafrika au mwafrika mpigania haki.
Kenyatta alipigania uhuru wa kenya, walivyopata akajipa robo ya ardhi ya kenya
Mugabe alipigania uhuru wa Zimbabwe baadae akataka familia yake ndio itawale daima
Akina kagame,museveni n.k waliingia madarakani wakiwahadaa watu kwamba wanawapigania kumbe wanapigania matumbo yao na familia zao
Kwahiyo tumuamini Magufuli?

I'm yet to see what solution you are suggesting!
 
CCM karibu wote wanapiga bange
Kuna Waziri Profesa mmoja hivi alishauriwa naye avute bangi tena ya Njombe ili awe mkali, na kweli baada ya hapo alibadilika akawa mbogo kwenye ziara zake mikoani anawapekeka mpera mpera.
 
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mwanasheria Mkuu makini kama Prof. Kilangi hawezi kuwa hajui kuwa Taifa Mama Tanzania ndio ina mihimili mitatu; Serikali, Bunge na Mahakama. Hayo unazusha kama uko kwenye Khanga Party.
 
Na we unakwama wapi ,hujui kuwa mihimili ni serikali,bunge na mahakama? Ko serikali inakuwaje mihimili mitatu tena? Au ni lugha imekuchanganya
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
 
Na we unakwama wapi ,hujui kuwa mihimili ni serikali,bunge na mahakama? Ko serikali inakuwaje mihimili mitatu tena? Au ni lugha imekuchanganya
Sasa kama serikali imegawanyika katika mihili mitatu. Kuna kosa mtu akisema serikali ni mihimili mitatu?
Three branches of government =1 government. Mfano hii ishu iko mahakani kuna tatizo?
Wewe ndio hujaelewa hiyo mihimili ni Executive,judiciary na legislature. Sio government,judiciary na legislature. Huyo mama ndio maana kanyag'anywa uwakili ni mweupe.
 
Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chenga
 
Back
Top Bottom