Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Kwa hiyo hapa umefafanua tayari? Kama hujui si umtafute hata shemejio anayesoma form 2 akueleze mihimili mitatu inaunda nini kuliko kujiaibisha?
Kwa hiyo hujaelewa kuwa ni serikali kuu,bunge na mahakama zinaunda serikali moja? Au huyu mtoa mada alivyojua wewe ni mjinga anadhani kila mtu ni mjinga?
 
Mwanasheria Mkuu makini kama Prof. Kilangi hawezi kuwa hajui kuwa Taifa Mama Tanzania ndio ina mihimili mitatu; Serikali, Bunge na Mahakama. Hayo unazusha kama uko kwenye Khanga Party.
Acheni kuchanganya mambo hebu nipe tofauti ya nation, government na executive labda ndo naweza nikakuelewa.
 
Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chenga
Serikali/government ina mihimili/pillars mitatu ambayo ni dola/executive, bunge/legislature na mahakama/judiciary
 
Wewe ni sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani uanasheria mkuu wa serikali niwa kusomea au kuteuliwa? Na Kama niwa kuteuliwa why unadhani kuwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ndo kujua Sheria?
 
C alisema bwana yule kuwa mhimili wake umejichimbia chini zaid au ulikuwa mtt?
 
Wewe nawe ni walewale vilaza.chenye mihimili mitatu ni nchi yetu Tanzania si serikali wewe kilaza,
 
Unavyoandika kwa confidence utadhani mtu mzima eti
 
Mkuu, umenifurahisha Sana hapa, lakini unatumia vigezo gani ktk hili,

Mf, tuanze na nafasi za ukatibu tu Vyama, unaona kilaza ni wa Chama gani

Njoo Kwa wenye viti Vyama, wewe utasema Nani kilaza,

Tuanzie hapo kwanza
Mwenyekiti wa ccm alipigiwa simu na rais wa South Africa akamsakizia polepole aongee naye halafu huyo bwana hawezi kwenda nje anahofu ataongeaje na marais wkt kuzungumza lugha ya kibeberu hajui
 
Kwa hiyo hujaelewa kuwa ni serikali kuu,bunge na mahakama zinaunda serikali moja? Au huyu mtoa mada alivyojua wewe ni mjinga anadhani kila mtu ni mjinga?
Umeishia darasa la ngapi? Kama uliishia darasa la 4, una haki ya kusifiwa. Maana angalao una uwezo wa kuandika sentensi ya Kiswahili, iliyonyoka.

Lakini nina uhakika hukufika angalao darasa la 5. Darasa la 5 ndiyo darasa ambalo watoto huanza kujifunza juu mihimili ya Taifa (Jamhuri).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dola (state) ndiyo yenye mihimili mitatu ambayo ni serikali, mahakama na bunge, na kila mhimili una mkuu wake. Tanzania na nchi nyingine zenye mfumo kama wa Tanzania ndiko mkuu wa serikali pia ni mkuu wa dola (head of state), lakini katika nchi nyingine za mfumo wa kidemokrasia kuna head of state ambaye anaweza kuwa rais (kama vile India, Ujerumani) na mkuu wa serikali ambaye ni waziri mkuu. Kwingineko mkuu wa dola ni mfalme au malkia (kama UK, Uholanzi nk) na mkuu wa serikali ni waziri mkuu.
Hapa kwetu waziri mkuu ni kiongozi wa mawaziri lakini hana executive powers kwa sababu mfumo wetu ni wa executive presidency.
 
Kwakua uzi huu ni wa kitaaluma naomba washabili wa siasa mtupishe kwanza kidogo mtachangia uzi ukifikisha koment 500+ labda huko mtakua na la kusema ila kwa sasa tafadhali nendeni SNAPCHAT kwanza.

Ok anachokisema Fatma Karume ni sahihi tatizo ni tafsiri ya neno executive na Serikali.

Alipaswa kusema Tanzania inafuata mfumo wa Nchi za Jumuia ya Madola ambapo Dola huundwa na mihimili mitatu nayo ni SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

Mwanasheria Mkuu sio msimamizi wa mihimili yote mitatu bali yeye ni mshauri wa masuala ya kisheria chini ya muhimili mmoja wa Serikali.

Ahsante
 
Like father like sons( "Fyatueni watoto elimu ni bure")
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…