Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwa hiyo hujaelewa kuwa ni serikali kuu,bunge na mahakama zinaunda serikali moja? Au huyu mtoa mada alivyojua wewe ni mjinga anadhani kila mtu ni mjinga?Kwa hiyo hapa umefafanua tayari? Kama hujui si umtafute hata shemejio anayesoma form 2 akueleze mihimili mitatu inaunda nini kuliko kujiaibisha?