Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
Tuombe Mungu asiwe amerithi na DNA ya babu yake ile inayotuhumiwa kuwatendea mambo flani ya kikatili wazanzibar kisi cha wengine kutoweka duniani.

DISCLAIMER: Tuhuma ni tuhuma tu, huenda babu yake anasingiziwa hayo matukio.

Presumption of innocence:
The presumption of innocence is the legal principle that one is considered innocent until proven guilty.
 
Who cares?

"Uzi" is not neccessarily ndio "ukweli"!

Nani ana muda wa 50:50 chances?
Kweli Nyumbu haachi asili umeuliza Ni "kweli" nikakujibu upo Uzi unazungumzia hiyo ishu ukasema kuwepo Uzi haifanyi kuwa "kweli"utafute uusome ujue ni kweli au sio kweli unasema hujali,huna mda wa kujua kweli,Sasa nikusaidieje na hutaki kujua ukweli?
 
Naona unajidhihirisha kuwa uliishia la saba na umekariri ndo maana umeshindwa kutofautisha kati ya dola na serikali ,usitupotoshe Bunge ni la Jamhuri wa muungano wa tz na cyo bunge la serikali ya JMT
Katika wafuasi wa Chadema wajinga wewe ni wa kwanza.
 
Mimi ninavyjua kwa hii awamu Mhimili ni mmoja tu na msitundanganye hapa. Kwa sasa ni DrJohn Pombe Magufuli basi. Naipenda nchi yangu Tanzania.
 
Cyo kosa lako ni wazazi wako inawezekana hawajakupeleka shule ,ni vigumu kwa umri wako kutoa upumbavu ulionao anza kuwekeza kwa watoto wasomeshe vizuri wasije wakawa kama we ambaye hujui kutofautisha dola na serikali
Katika wafuasi wa Chadema wajinga wewe ni wa kwanza.
 
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Ktk wanasheria wasomi wenye uwezo mdogo sana huyu mama ni mmojawapo! Yaani kila akifungua mdomo ni kujianika jinsi alivyo mtupu...
 
Tuombe Mungu asiwe amerithi na DNA ya babu yake ile inayotuhumiwa kuwatendea mambo flani ya kikatili wazanzibar kisi cha wengine kutoweka duniani.

DISCLAIMER: Tuhuma ni tuhuma tu, huenda babu yake anasingiziwa hayo matukio.

Presumption of innocence:
The presumption of innocence is the legal principle that one is considered innocent until proven guilty.
Kama una proof au imepita judiciary na akahukumiwa kwamba alikua muuaji then ni yeye kama yeye babu

Fatuma ni mtu mwingine,matendo ya babu yake ambae ni mtu mwingine ambayo probably alifanya miaka hiyo,sio sahihi kumhukumu Fatuma for those!

Mwache kwanza Fatuma afanye makosa yeye kama yeye,tumhukumu kwa atakachofanya!
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Wanatafakari kwakutumia
JamiiForums967174801.jpg
 
Kama una proof au imepita judiciary na akahukumiwa kwamba alikua muuaji then ni yeye kama yeye babu

Fatuma ni mtu mwingine,matendo ya babu yake ambae ni mtu mwingine ambayo probably alifanya miaka hiyo,sio sahihi kumhukumu Fatuma for those!

Mwache kwanza Fatuma afanye makosa yeye kama yeye,tumhukumu kwa atakachofanya!
Mkuu upo sahihi sema namimi nimetembelea hoja yako ya vinasaba (DNA) 'analogously', sema wewe uliangalia upande wa chanya (+) namimi niliangalia upande hasi (-).
 
Tatizo ulifundishwa na Waalimu ambao pia Ni failure Mama wewe ikapelekea na wewe ukafeli na bahati mbaya zaidi HUJUI kama Hujui.
Tuna kitu kinaitwa DOLA na kwa waalimu na wakufunzi waliotufundisha sisi wengine, kwa Kiingereza tuna State. Dola ndiyo yenye Mihimili Mi 3. Mmoja ni Serikali, mwingine ni Bunge, na wa Mwisho ni Mahakama. Ukisoma Katiba ya JMT Ibara ya 4, utaelewa angalau kidogo. Kwa kiingereza ambacho ni cha elimu ya juu, tuna 3 Arms of State ambazo ni 1. Executive (Government) 2. Legislature (Parliament) na 3. Judiciary.

Huyo Mwalimu aliekufundisha 3 Branches of the Government, aidha yeye mwenyewe ndie tatizo, au Mtaala uliotumika kukufundisha (ambao naamini ulitungwa kutengeneza VILAZA wengi kama ulivyo lengo likiwa kuendelea kuwatawala)

Kama hadi hapa utakuwa mbishi, basi endelea kutetea 7000/ yako.
Wewe mpuuzi dola ina mhimili? Mh.. Chadema imejaza wajinga. Yaani State ina branches?
 
Wakuu kuna mahali katiba imetumia neno dola?
Naomba msaada pls ili niunge mkono hoja
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
 
Babake aliwafanya nn wa ZNZ?

Na kwann walimkita?

DNA my left foot[emoji3][emoji3]
Bro

Biologically,mtoto anachukua 50% ya DNA ya baba na 50% ya DNA ya mama,whether you it or not!

Fatuma ni descendant wa Amani Karume senior na wewe sio,whether you like it or not!

Sasa basi,matendo aliyofanya babu yake au ndugu yake yeyote kwenye utawala wowote ni matendo yao wao,uwahukumu wao kama wao.

Yeye muhukumu kwa matendo yake yeye kama yeye!

Yaani wewe jamaa ni bogus sana

Halafu jina lako "Themagufulianz" linakushusha bottom of the toilet maana jina ni la hovyo sana imagining the the name came from.

Please rename yourself to something useful,atleast jiite mavi kuliko hilo jina aisee!
 
Mkuu upo serious? Yaani serikali ndo yenye mihimili mitatu? Serious?mkuu mbona vifungu vya katiba vimetolea hapo juu kwa maarifa yako katiba pia ni Mali ya Serikali?
Kuna nyuzi huwa unajisifu ulisoma Tumain Uni. Kumbe huwa utapeli wako wa ufipa!
 
Sielewi umeandika nn toka kwenye andiko langu
Hypothetically

Mwenyekiti wa Kijiji ni mjumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya, unataka kuniambia Mwenyekiti ni msimamizi wa kamati ya Usalama ya Wilaya?

Mwanasheria Mkuu sio msimamizi bali mshauri na hapo ndipo usahihi wa Fatma ulipo.
 
Kuwa kwake mjumbe wa tume ya utumishi wa umma anapataje mamlaka ya kuwa mshauri wa mahakama?
 
Back
Top Bottom