Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??

AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
 
Wewe ndiyo umejadili kiini cha tatizo!
Tatizo lugha ya kiswahili.

Hapa wengi wanakwama kwenye kufanya tafsiri ya maneno Government, State, Executive, Judicial na Parliament.
Tukirudi kwenye kiswahili watu wanakwama kujuwa maana na tofauti ya maneno Serikali, na Dola.
Na ndiyo tatizo la AG pia
 
Wivu wa kike huo.....
Jina linakukwaza?
Bro

Biologically,mtoto anachukua 50% ya DNA ya baba na 50% ya DNA ya mama,whether you it or not!

Fatuma ni descendant wa Amani Karume senior na wewe sio,whether you like it or not!

Sasa basi,matendo aliyofanya babu yake au ndugu yake yeyote kwenye utawala wowote ni matendo yao wao,uwahukumu wao kama wao.

Yeye muhukumu kwa matendo yake yeye kama yeye!

Yaani wewe jamaa ni bogus sana

Halafu jina lako "Themagufulianz" linakushusha bottom of the toilet maana jina ni la hovyo sana imagining the the name came from.

Please rename yourself to something useful,atleast jiite mavi kuliko hilo jina aisee!
 
Neno dola liko kwenye katiba mkuu?
Ama ni opinion?
AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
 
AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
Dola ina mihimili mitatu? Jitu jinga!
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Duuuh hatari sana...kumbe na wewe umeona...Elimu ye kijinga hii yaani ulivyotokwa povu uwezi ata kutofautisha Dola na Serikali (State and Government)
 
Acha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
Una matope kichwani, domo kubwa masikio madogo. Kwani hii thread inabishana na ulilosema hapa? Kenge bila shaka ni wewe unaparamia mambo kwa kiherehere utafikiri round ya kwanza baada ya kutoka jela. Mna akili gani nyie watu - kama mnazo!
 
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.
 
Kuna nyuzi huwa unajisifu ulisoma Tumain Uni. Kumbe huwa utapeli wako wa ufipa!
Mkuu niombe radhi,yaani nitoke kusoma mzumbe secondary shule ya watoto wenye vipaji maalum miaka hiyo then nikachukue degree yangu Tumaini University? Any way tuyaache hayo.Kwahiyo kwa akili yako serikali ndo ina mihimili mitatu siyo?
 
Back
Top Bottom