kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
We jamaa unajiabisha sana, Hahahahahah.. nimecheka sanaKwa hiyo Bunge sio serikali? Mahakama sio serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unajiabisha sana, Hahahahahah.. nimecheka sanaKwa hiyo Bunge sio serikali? Mahakama sio serikali?
Ok.We jamaa unajiabisha sana, Hahahahahah.. nimecheka sana
Si ajabu watu wengi humu awaelewi hata police force ni sehemu ya judiciary and not the government.
Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??
Chadema yote imejaa wavuta bangi. Suala hata mtoto wa darasa la kwanza analijua.We jamaa unajiabisha sana, Hahahahahah.. nimecheka sana
Na ndiyo tatizo la AG piaWewe ndiyo umejadili kiini cha tatizo!
Tatizo lugha ya kiswahili.
Hapa wengi wanakwama kwenye kufanya tafsiri ya maneno Government, State, Executive, Judicial na Parliament.
Tukirudi kwenye kiswahili watu wanakwama kujuwa maana na tofauti ya maneno Serikali, na Dola.
Umeshadadia "typo" hapo....Hakuna aliyewahi kupanda ngapi....
Hicho kitu hakipo duniani[emoji3]
Katika ccm wajinga , wewe ni wa ngapi ?Katika wafuasi wa Chadema wajinga wewe ni wa kwanza.
Bro
Biologically,mtoto anachukua 50% ya DNA ya baba na 50% ya DNA ya mama,whether you it or not!
Fatuma ni descendant wa Amani Karume senior na wewe sio,whether you like it or not!
Sasa basi,matendo aliyofanya babu yake au ndugu yake yeyote kwenye utawala wowote ni matendo yao wao,uwahukumu wao kama wao.
Yeye muhukumu kwa matendo yake yeye kama yeye!
Yaani wewe jamaa ni bogus sana
Halafu jina lako "Themagufulianz" linakushusha bottom of the toilet maana jina ni la hovyo sana imagining the the name came from.
Please rename yourself to something useful,atleast jiite mavi kuliko hilo jina aisee!
AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
Acha wehu.Katika ccm wajinga , wewe ni wa ngapi ?
Kwani lazima kila Uzi uchangie?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Dola ina mihimili mitatu? Jitu jinga!AG hajui kuwa serikali ni moja ya mihimili mitatu ya dola , uliona wapi mhimili unakuwa na mihimili mingine? Shangazi ni mtade wa sheria bhana kushinda AG, shida yenu mmekalili mkisikia professor mnafikiri ni kichwa sana kumbe wapi, ma professor wengi tena hawa wetu walivumilia tu kukaa darasani muda mrefu wala sio utade.
Duuuh hatari sana...kumbe na wewe umeona...Elimu ye kijinga hii yaani ulivyotokwa povu uwezi ata kutofautisha Dola na Serikali (State and Government)Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Una matope kichwani, domo kubwa masikio madogo. Kwani hii thread inabishana na ulilosema hapa? Kenge bila shaka ni wewe unaparamia mambo kwa kiherehere utafikiri round ya kwanza baada ya kutoka jela. Mna akili gani nyie watu - kama mnazo!Acha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
Basically criminal justice system yote ni sehemu ya JudiciaryPia DPP
Wengi hawajui
Mwendesha mashitaka wa umma wengine wanamuita wa serikali
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mkuu niombe radhi,yaani nitoke kusoma mzumbe secondary shule ya watoto wenye vipaji maalum miaka hiyo then nikachukue degree yangu Tumaini University? Any way tuyaache hayo.Kwahiyo kwa akili yako serikali ndo ina mihimili mitatu siyo?Kuna nyuzi huwa unajisifu ulisoma Tumain Uni. Kumbe huwa utapeli wako wa ufipa!