Tuombe Mungu asiwe amerithi na DNA ya babu yake ile inayotuhumiwa kuwatendea mambo flani ya kikatili wazanzibar kisi cha wengine kutoweka duniani.Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...
Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.
Yeye na Maria,incredible ladies!
Kweli Nyumbu haachi asili umeuliza Ni "kweli" nikakujibu upo Uzi unazungumzia hiyo ishu ukasema kuwepo Uzi haifanyi kuwa "kweli"utafute uusome ujue ni kweli au sio kweli unasema hujali,huna mda wa kujua kweli,Sasa nikusaidieje na hutaki kujua ukweli?Who cares?
"Uzi" is not neccessarily ndio "ukweli"!
Nani ana muda wa 50:50 chances?
Mbowe [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ushapunguza stress kwa kusema hivyo....
Usipande ngazi ukiwa umelewa...View attachment 1486974
Katika wafuasi wa Chadema wajinga wewe ni wa kwanza.Naona unajidhihirisha kuwa uliishia la saba na umekariri ndo maana umeshindwa kutofautisha kati ya dola na serikali ,usitupotoshe Bunge ni la Jamhuri wa muungano wa tz na cyo bunge la serikali ya JMT
Katika wafuasi wa Chadema wajinga wewe ni wa kwanza.
Chadema wana malailoni kichwani.Yaani unamlinganisha AG na Lissu na Fatuma Karume kweli? Are u serious??
Ktk wanasheria wasomi wenye uwezo mdogo sana huyu mama ni mmojawapo! Yaani kila akifungua mdomo ni kujianika jinsi alivyo mtupu...1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mh...Serikali/government ina mihimili/pillars mitatu ambayo ni dola/executive, bunge/legislature na mahakama/judiciary
Kama una proof au imepita judiciary na akahukumiwa kwamba alikua muuaji then ni yeye kama yeye babuTuombe Mungu asiwe amerithi na DNA ya babu yake ile inayotuhumiwa kuwatendea mambo flani ya kikatili wazanzibar kisi cha wengine kutoweka duniani.
DISCLAIMER: Tuhuma ni tuhuma tu, huenda babu yake anasingiziwa hayo matukio.
Presumption of innocence:
The presumption of innocence is the legal principle that one is considered innocent until proven guilty.
Mimi hua sipandi ngapiUshapunguza stress kwa kusema hivyo....
Usipande ngazi ukiwa umelewa...View attachment 1486974
Wanatafakari kwakutumiaSerikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Mkuu upo sahihi sema namimi nimetembelea hoja yako ya vinasaba (DNA) 'analogously', sema wewe uliangalia upande wa chanya (+) namimi niliangalia upande hasi (-).Kama una proof au imepita judiciary na akahukumiwa kwamba alikua muuaji then ni yeye kama yeye babu
Fatuma ni mtu mwingine,matendo ya babu yake ambae ni mtu mwingine ambayo probably alifanya miaka hiyo,sio sahihi kumhukumu Fatuma for those!
Mwache kwanza Fatuma afanye makosa yeye kama yeye,tumhukumu kwa atakachofanya!
Mimi hua sipandi ngapi
What do you say about that?
Wewe mpuuzi dola ina mhimili? Mh.. Chadema imejaza wajinga. Yaani State ina branches?Tatizo ulifundishwa na Waalimu ambao pia Ni failure Mama wewe ikapelekea na wewe ukafeli na bahati mbaya zaidi HUJUI kama Hujui.
Tuna kitu kinaitwa DOLA na kwa waalimu na wakufunzi waliotufundisha sisi wengine, kwa Kiingereza tuna State. Dola ndiyo yenye Mihimili Mi 3. Mmoja ni Serikali, mwingine ni Bunge, na wa Mwisho ni Mahakama. Ukisoma Katiba ya JMT Ibara ya 4, utaelewa angalau kidogo. Kwa kiingereza ambacho ni cha elimu ya juu, tuna 3 Arms of State ambazo ni 1. Executive (Government) 2. Legislature (Parliament) na 3. Judiciary.
Huyo Mwalimu aliekufundisha 3 Branches of the Government, aidha yeye mwenyewe ndie tatizo, au Mtaala uliotumika kukufundisha (ambao naamini ulitungwa kutengeneza VILAZA wengi kama ulivyo lengo likiwa kuendelea kuwatawala)
Kama hadi hapa utakuwa mbishi, basi endelea kutetea 7000/ yako.
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
BroBabake aliwafanya nn wa ZNZ?
Na kwann walimkita?
DNA my left foot[emoji3][emoji3]
Kuna nyuzi huwa unajisifu ulisoma Tumain Uni. Kumbe huwa utapeli wako wa ufipa!Mkuu upo serious? Yaani serikali ndo yenye mihimili mitatu? Serious?mkuu mbona vifungu vya katiba vimetolea hapo juu kwa maarifa yako katiba pia ni Mali ya Serikali?
Hypothetically
Mwenyekiti wa Kijiji ni mjumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya, unataka kuniambia Mwenyekiti ni msimamizi wa kamati ya Usalama ya Wilaya?
Mwanasheria Mkuu sio msimamizi bali mshauri na hapo ndipo usahihi wa Fatma ulipo.
Kuwa kwake mjumbe wa tume ya utumishi wa umma anapataje mamlaka ya kuwa mshauri wa mahakama?Hypothetically
Mwenyekiti wa Kijiji ni mjumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya, unataka kuniambia Mwenyekiti ni msimamizi wa kamati ya Usalama ya Wilaya?
Mwanasheria Mkuu sio msimamizi bali mshauri na hapo ndipo usahihi wa Fatma ulipo.