Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Mkuu state kwa maana nchi au dola ndo yenye mihimili mitatu na hii mbona ipo clear kwenye katiba yetu ya mwaka 77 na Fatuma kaquaote vifungu hapo juu.Sasa Kama ninyi ndo ccm imewaweka muitetee hapa mitandaoni basi wadanganyika watasubiri viwanda sana
Alafu umesoma mzumbe. Hujui kuwa state na government ni vitu tofauti?
 
Ukijibu swali langu utanisaidia zaidi mkuu
Neno dola limetajwa kwenye katiba kwenye mihimili?
Mkuu katiba kwenye lugha ya malikia imeidefine Tanzania kama Sovereignty state yenye mihimili mitatu,while Ile ya kiswahili ikiidefine Tanzania Kama nchi huru yenye mihimili mitatu ya utawala inayojitegemea,mihimili hiyo inaitwa serikali,bunge na mahakama na kila muhimili umepewa majukumu yake na katiba,pia katiba imetoa maelekezo namna mihimili hiyo itapata viongozi wake na pesa za kuendeshea shughuli zake.Katiba ni Mali ya watanzania/ Mali ya nchi/ state na si serikali
 
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.

Dola (kwa kiingereza "State") ndio yenye Mihimili Mitatu ambayo ni 1. Serikali 2. Bunge na 3. Mahakama. Serikali Kuu ( Central Goverment) ni sehemu ya Serikali kama ilivyo Serikali za Mitaa ( Local Government).

Amandla...
 
Mkuu for your information,pamoja na ukilaza wako,serikali ni mtoto wa katiba
Hueleweki mkuu unataka kuleta hoja gani kwenye huu mjadala kwakua sio kinachozungumzwa hapa.
 
Dola (kwa kiingereza "State") ndio yenye Mihimili Mitatu ambayo ni 1. Serikali 2. Bunge na 3. Mahakama. Serikali Kuu ( Central Goverment) ni sehemu ya Serikali kama ilivyo Serikali za Mitaa ( Local Government).

Amandla...
Hawa vilaza wa CCM ni aibu tu.usikute wengine ndo hao wakuu wa mikoa na wilaya,Tanzania this time around imepatwa
 
Mkuu katiba kwenye lugha ya malikia imeidefine Tanzania kama Sovereignty state yenye mihimili mitatu,while Ile ya kiswahili ikiidefine Tanzania Kama nchi huru yenye mihimili mitatu ya utawala inayojitegemea,mihimili hiyo inaitwa serikali,bunge na mahakama na kila muhimili umepewa majukumu yake na katiba,pia katiba imetoa maelekezo namna mihimili hiyo itapata viongozi wake na pesa za kuendeshea shughuli zake.Katiba ni Mali ya watanzania/ Mali ya nchi/ state na si serikali
Hii thread ilitakiwa iishie hapa kwenye hii comment
 
Mwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).

Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.

Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.

Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
No wonder wewe ni mwalimu.
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Hata wewe Serikali haina mihimili 3 ila kuna Mihimili 3 nayo ni
1.Serikali
2.Mahakama
3.Bunge
 
Mwanasheria mkuu yupo sahihi, Hata shuleni inafundishwa matawi ya serikali ni matatu
Achana na habari za shule ilikufundisha nini maana hata hizo shule huwa zinawajaza ujinga mwingi.

Soma hapa uelimike wewe na huyo AG wako ili next time msilete ubabaishaji.

Mihimili ni ya DOLA na sio ya serikali.

Serikali haina mihimili kwa sababu serikali yenyewe ni mhimili mmoja miongoni mwa mihimili MITATU ya DOLA.
 
Hawa vilaza wa CCM ni aibu tu.usikute wengine ndo hao wakuu wa mikoa na wilaya,Tanzania this time around imepatwa

Nahisi mkanganyiko unachangiwa na hii Sheria mpya ambayo inaweka zuio kwa Wakuu wa Mihimili hiyo kushitakiwa Mahakamani isipokuwa kupitia kwa Attorney General. Hii inaweza kuleta hisia kuwa Mihimili yote hiyo mitatu inawakilishwa na Attorney General ambae ni sehemu ya Serikali.

Amandla...
 
Wapumbavu ni wengi kuliko unavyodhani.
Hata hivyo, ukikosea kukadiria nguvu yao utapata shida sana.
 
Kwa maana ya uwakilishi wa kisheria nje ya nchi bila kujali inahusu bunge, mahakama ama executive atawakilisha AG.

Nimekosea mkuu?

Naomba nijifunze na isichukuliwe kama hoja.

Thanks
Nahisi mkanganyiko unachangiwa na hii Sheria mpya ambayo inaweka zuio kwa Wakuu wa Mihimili hiyo kushitakiwa Mahakamani isipokuwa kupitia kwa Attorney General. Hii inaweza kuleta hisia kuwa Mihimili yote hiyo mitatu inawakilishwa na Attorney General ambae ni sehemu ya Serikali.

Amandla...
 
Kilangi ni mtupu kwenye katiba ya nchi, amebobea kwenye sheria za kimataifa
There you are! Kumbe wampata..Kilangi ni gwiji kwenye International Law lakini hna credentials za kuwa AG. Source kutoka kwa insider: yeye mwenyewe alishangazwa kwa kuteuliwa kuwa AG. Hii nchi ina matatizo sana!!!
 
Back
Top Bottom