ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:.
"..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra Kambole Sr. Its urgent. Tafadhali sambaza ujumbe ujumbe huu popote kuwapata walengwa. Its our obligation to emancipate those who are crying for help.! No.-0628394454"...
Kanuni ya 28 ya Taalumu na Maadili ya Mawakili (Advocates (Professional Conduct and Etiquette) Regulations,2018 zinakataka kabisa Wakili yeyote kushawishi Wateja kinyume cha Sheria kumpatia Kazi (Touting).
Je, Fatuma Karume kama Rais wa TLS unabariki Matendo haya ya Mawakili??