Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

Ni sawa, anawaita awape msaada wa kisheria kama mwanaharakati baada ya kuona kuna uonevu! Kuna kosa gani. Nadhani hujaelewa kifungu hicho tafsiri yke, you have a wrong interpretation!
Awapi....jamaa yupo Desperate sana anatafuta kiki sana ila tatizo hana nyota!

Huyo ni Ambulance Chaser.......
 
roll.

The Oxford Dictionary defines touting as ‘solicit custom persistently; pester customers (touting for business)’ or ‘solicit the custom of a person or for a thing’.

On the plain wording it is thus clear that approaching potential clients without their consent or invitation repeatedly and aggressively, thus forcing oneself on them in a bold manner, would on the face of it suffice as touting....

Hiyo ni one of the professional abuse. Is prohibited kwa mawakili sio tu Tanzania, ni sehemu ninyi Dunia.
Huyo jamaa yupo over persistent! Anahangaika Sana.. seems he doesnt make money atleast he is not busy
 
roll.

The Oxford Dictionary defines touting as ‘solicit custom persistently; pester customers (touting for business)’ or ‘solicit the custom of a person or for a thing’.

On the plain wording it is thus clear that approaching potential clients without their consent or invitation repeatedly and aggressively, thus forcing oneself on them in a bold manner, would on the face of it suffice as touting....

Hiyo ni one of the professional abuse. Is prohibited kwa mawakili sio tu Tanzania, ni sehemu ninyi Dunia.
Tout bila shaka ni kushawishi ili kuuza, na iwe inajirudia rudia (persistently).
Je, hiyo tout unayoongelea wewe imefikiwa na Kambole?
Utakuwa mwanasheria wa CCM wewe
 
roll.

The Oxford Dictionary defines touting as ‘solicit custom persistently; pester customers (touting for business)’ or ‘solicit the custom of a person or for a thing’.

On the plain wording it is thus clear that approaching potential clients without their consent or invitation repeatedly and aggressively, thus forcing oneself on them in a bold manner, would on the face of it suffice as touting....

Hiyo ni one of the professional abuse. Is prohibited kwa mawakili sio tu Tanzania, ni sehemu ninyi Dunia.
Ok nenda kawashtaki mahakani sasa
 
soma post#5, usiwe moved na ccm! kujitokeza kuwatetea watu ambao unahisi hawakutendew haki haikatazwi! Achana na oxford dictionary, eveybody is aware of its existene, judicial notice I can say!
hajaweka tangazo kuwa mimi ni wakili mashuhuri njoo upate msaada
Technically he is right. Ethically??? No way, attorney hutakiwi uwe such desperate
 
Acha hizo, bwana. Tumeona matangazo mengi kuwa kuna madaktari bingwa wanatoa msaada wa matibabu watu waje na ada ni kidogo. Je hilo ni kosa?
Huyu hajaita wateja kama biashara, ameguswa na kifungo cha maisha anataka kuwatetea. Ni tofauti na mtu anayeweka tangazo kuwa mimi ni wakili mashuhuri njoo nikupe msaada wa kisheria. Kabombe haombi ajira kwa hawa watoto, wamlipe, elewa hiyo essence ya kuwaita... motive behind
Ebu soma hii ingawa ni from other jurisdiction lakini hivi vifungu ni pari materiale na vya kwetu!
:
Rule 7.3 Solicitation of Clients - Comment

[1] Paragraph (b) prohibits a lawyer from soliciting professional employment by live person-to-person contact when a significant motive for the lawyer’s doing so is the lawyer’s or the law firm’s pecuniary gain. A lawyer’s communication is not a solicitation if it is directed to the general public, such as through a billboard, an Internet banner advertisement, a website or a television commercial, or if it is in response to a request for information or is automatically generated in response to electronic searches.
Jamaaa mbona kama unachanganya madesa???

Au unadhani CLIENT ni mpaka akulipie hela? Hujui kua hata wale wa Probono japo hawakupi hata kumi nao ni clients??

Kuhusu matangazo ya bingwa....mbona hata TLS wanatoaga matangazo kuhusu Legal Aid Services??

Mwambie jamaa yako aacha kua desperate sana
 
Ndiyo sheria inaelekeza. Kosa la Arson hukumu yake ni Jela Maisha. Subiri ukija kuchomewa nyumba ndiyo utaona maumivu yake!
Acha kukurupuka....hiyo hukumu ni Maximum.... Sheria haijaweka Minimum yake.....ila kabla mtu hajapigwa kifungo maximum...lazima kuwe na kitu hao wasomi wanaita "aggravating cricumstances"....sasa ukiulizwa labda kulikua na aggravating circum gani utaweza kujibu?
 
Hujui kitu may be ndiyo uko chuo unasoma!!
 
Wangejitokeza vipi wakati tayari kesi ilikua na wakili wa utetezi? Na kesi inapotolewa hukumu jamhuri ikashinda, wakili wa utetezi hua ni uamzi wake atake kuachana nayo ama aendelee nayo ni yeye tu. Kwahiyo anaweza kua anajua cha kufanya lakini sio lazima akifanye bali ni hiali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama wana wakili wa utetezi....kwanini jamaa ana kiherehere cha kuchukua kesi ambayo tayri ina wakili?? Yani ni kama anaiba wateja wa jamaa mwenzake...

Si amuachie huyo wakili aliyekuepo aendelee na wateja wake kwenye Rufaa????
 
Kuingilia kati ni sawa lkn mda wote kesi ikiendelea alikua wapi?Na ni kwanini asiende masijala ya mahakamani au magereza ili apate anuani za wahusika awafate kimyakimya km kweli ana nia ya kuwasaidia.Je huu wa kupiga mbiu ndiyo utaratibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni karne ya 21 masijala na anauni wapi na wapi au wewe ni CCM ?
 
Hujui kitu may be ndiyo uko chuo unasoma!!
We taaira kweli.....Arson penal code imesema adhabu ni Maisha.....

Je sema kama kosa ka Arson lipo kwenye Cap 60 uli tuseme kua Hakimu ni lazima ahukumu Maisha maana ndo adhabu pekee???

Najua we ni kilaza...Cap 60 ni Minimum Sentences Act
 
"..Ndugu yeyote wa washtakiwa waliohukumiwa jela leo kifungo cha maisha awasiliane nami inbox au Wakili Jebra Kambole Sr. Its urgent. Tafadhali sambaza ujumbe ujumbe huu popote kuwapata walengwa. Its our obligation to emancipate those who are crying for help.! No.-0628394454"...
"Those who are crying for help" sasa hapa biashara iko wapi?
au mimi ndo nashindwa kuelewa maana ya help?
Nadhani kati yetu wawili lazima mmoja anaumwa ugonjwa
unaoitwa MWENDO KASI.
 
Kweli hata kama, yaan kuchoma kituo ndio upigwe maisha jela!? Kulikuwa hakuna namna nyingine ya adhabu? Aisee inauma lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchoma Kituo cha Polisi ni kosa la UGAIDI.
Hivyo natumaini mwananchi unajua adhabu za makosa ya KIGAIDI.
Kama kutatokea utetezi basi ni haki ya watuhumiwa kutetewa.
Ila kama kweli walikutwa na makosa ya
" kuchoma kituo cha polisi hiyo adhabu wanastahili "
Unaweza kutenda kosa bila kujua ghalama yake, na ujue sheria ni msumeno.
Jiulize mwananchi, unapochoma kituo cha polisi lengo lako hasa ninini ?
Je KIBITI si ilianza hivyo hivyo au mmeisha sahau ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wakili "msomi" ni vyema akajifunza kutofautisha kati ya its na it's.
Wrekless thinking

Certified idiot always rely on opposing, You have no idea about pertaining Criminal law and procedure

Wewe kazi yako hapa JF ni kuongea upumbavu uliosomea

Mwaka mzima ukipitia unachoandika unaweza kupata kichefuchefu

Jitu zima Mwaka mzima unaandika takataka

Certified idiot
 
Wasipoangalia hao wafungwa wataumia zaidi.sabbu kuna watu wanataka wawatumie kama mgongo wa kupandia kisiasa! Wanamtumia huyo dogo kama fursa.! Je hakimu hakuona kuwa alikua na miaka 14 wakati akitenda hilo kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasipoangalia hao wafungwa wataumia zaidi.sabbu kuna watu wanataka wawatumie kama mgongo wa kupandia kisiasa! Wanamtumia huyo dogo kama fursa.! Je hakimu hakuona kuwa alikua na miaka 14 wakati akitenda hilo kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa hiyo unataka kusema utaratibu wa kukata rufaa ufutwe?
 
Back
Top Bottom