Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

Hivi kutaka kuwatetea ndio kusema kuwa hawana hatia? hakuna kosa lililotendeka? kituo hakikuchomwa?

Na kama wanadhani hao waliohukumiwa sio Wahusika, wao wanawajua wahusika halisi?
Kabla ya kujibu coment ya mtu nitakua nasoma kwanza jina LA mtu huyo ikiwezekana nitaangalia ni mwanachama tangu Lin na angalau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuingilia kati ni sawa lkn mda wote kesi ikiendelea alikua wapi?Na ni kwanini asiende masijala ya mahakamani au magereza ili apate anuani za wahusika awafate kimyakimya km kweli ana nia ya kuwasaidia.Je huu wa kupiga mbiu ndiyo utaratibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angeenda kimya kimya tusingekosa neno!! Duuu jamaa aliamua kuwafat kwao kawashawishi wakate rufaa... Anatka kuwapiga pesa Huyo... Siangetoa tarifa kwa vyombo vya habar etc etc.

Mda wote wa kesi alikua wapi? Kwahiyo kesi iliendeshwa bila wakali wa kuwatetea watuhumiwa? Naamin palikua na wakili wa kuwatetea watuhumiwa sasa angejitokeza vipi? Huo sinndio ungekua uvunjifu wa sheria!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Kanuni za Tanzania we mzee
Nimekwambia ni parimateria, nikiwa na maana ya kukuletea already interpreted one...
We kijana inaonekana umetoka juzi law school au school of law!
ebu soma hiyo uone kama Kabombe ame tout!

There are various definitions to the word tout. The importance of adopting a definition in context cannot be overemphasized. Inter alia The Macquarie Dictionary defines “tout” as to solicit business, employment, votes, etc, importunately. Since the law of the State banned advertising, this is the definition the Supreme Court of Queensland in Hayes v. Surfers Paradise Rock and Roll Café (2010) QCA 48 chose. According to the dictionary, touting may also mean to solicit support for importunately, to describe or proclaim, especially favourably or, as a noun, to mean one who solicits custom, employment, support, etc, importunately.

According to the ‘Black’s Law Dictionary, touting is also “the solicitation of business by highly recommending a security or product, esp. when the recommendation’s basis is largely puffery.”

In a libel action Day J., said that “the true meaning of the word ‘tout’ is simply a person who obtains business by solicitation; and not, necessarily, a swindler, though no doubt he might combine the occupations.” As was pointed out in Nova Scotia Barristers’ Society’s, Words & Phrases: Judicially Defined in Canadian Courts and Tribunals, citing a decision by the Ontario securities commission, Touting consists of pestering possible customers to buy, in a way that masks relevant information. Unlike a hard sale, a tout subtly or overtly, exaggerates information and conceals facts. And as was held in Hayes (supra) it requires something additional, some persistence, repetition, pursuit, pestering, obstruction, or other importunate behavior.
 
Angeenda kimya kimya tusingekosa neno!! Duuu jamaa aliamua kuwafat kwao kawashawishi wakate rufaa... Anatka kuwapiga pesa Huyo... Siangetoa tarifa kwa vyombo vya habar etc etc.

Mda wote wa kesi alikua wapi? Kwahiyo kesi iliendeshwa bila wakali wa kuwatetea watuhumiwa? Naamin palikua na wakili wa kuwatetea watuhumiwa sasa angejitokeza vipi? Huo sinndio ungekua uvunjifu wa sheria!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kama alikuwepo huyo Wakili wa kuwatetea washtakiwa na kesi ikamuliwa ndivyo sivyo si anajua nini cha kufanya na namna ya kufanya? Ingekua bora hao wanaojitokeza mda huu wangejitokeza mapema ili kuhakikisha haki inatendeka vinginevyo kuna walakini lkn acha tu waendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu, utaratibu utaratibu,utaratibu, hajakatazwa kuwatetea infact,alipaswa kuingilia kati wakati kesi ikiendelea. Jukumu la wakili ni kuisaidia mahakama itoe maamuzi ya haki pindi kesi ifikishwapo mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama nawewe ni wakili mkuu ila kama sio basi wote tunabahatisha, hatujui. Niluwahi kuona mtu hana wakili wa kumtetea lakini mahama ikampatia wakili wa serikali. Sasa kama wakili walikua nae kwanini aingilie? Na wakili akishapangwa kusimamia kesi flani huwez kubadili kienyeji hivi hua ni mchakato hasa na mda mwingine hakimu anauwezo wa kukataa usibadili wakili maana kubadili wakili maana yake ni kuanza kusikiliza kesi upya. Sasa tuseme kesi imeunguruma kwa miezi tisa! Inakalibia kuisha mnasema mnataka kubadili wakili, mahikimu wengi hua hawavumilii hicho kitu.

Halafu unaposema alipaswa kuingilia kati wakati kesi ikiunguruma mahakamani, ulikua unajua hukumu ya kesi itakua ni kifungo cha maisha jera? Bila shaka wengi hatukitegemea hiyo hukumu Kali kiasi kile na jebra kambole nae hakutegemea ndio maana kajitokeza kutetea maana kaona haki haikutendeka/ sheria haikufuatwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kama alikuwepo huyo Wakili wa kuwatetea washtakiwa na kesi ikamuliwa ndivyo sivyo si anajua nini cha kufanya na namna ya kufanya? Ingekua bora hao wanaojitokeza mda huu wangejitokeza mapema ili kuhakikisha haki inatendeka vinginevyo kuna walakini lkn acha tu waendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangejitokeza vipi wakati tayari kesi ilikua na wakili wa utetezi? Na kesi inapotolewa hukumu jamhuri ikashinda, wakili wa utetezi hua ni uamzi wake atake kuachana nayo ama aendelee nayo ni yeye tu. Kwahiyo anaweza kua anajua cha kufanya lakini sio lazima akifanye bali ni hiali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama nawewe ni wakili mkuu ila kama sio basi wote tunabahatisha, hatujui. Niluwahi kuona mtu hana wakili wa kumtetea lakini mahama ikampatia wakili wa serikali. Sasa kama wakili walikua nae kwanini aingilie? Na wakili akishapangwa kusimamia kesi flani huwez kubadili kienyeji hivi hua ni mchakato hasa na mda mwingine hakimu anauwezo wa kukataa usibadili wakili maana kubadili wakili maana yake ni kuanza kusikiliza kesi upya. Sasa tuseme kesi imeunguruma kwa miezi tisa! Inakalibia kuisha mnasema mnataka kubadili wakili, mahikimu wengi hua hawavumilii hicho kitu.

Halafu unaposema alipaswa kuingilia kati wakati kesi ikiunguruma mahakamani, ulikua unajua hukumu ya kesi itakua ni kifungo cha maisha jera? Bila shaka wengi hatukitegemea hiyo hukumu Kali kiasi kile na jebra kambole nae hakutegemea ndio maana kajitokeza kutetea maana kaona haki haikutendeka/ sheria haikufuatwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
SERIKALI inawajibika kukuwekea Wakili ikiwa unakabiliwa na kesi ya mauaji na huyo wakili si wa SERIKALI bali ni wa kunitegemea.
Mahakama inaruhusu mtuhumiwa kukodi wakili au kubadilisha wakili wakati wowote kesi ingali inaendelea kwakua ni haki ya kikatiba ya mtuhumiwa. Swala la ukali wa hukumu halina maana kua SERIKALI ikuweke Wakili ila hilo ni jukumu lako mshtakiwa na km hukuridhika na hukumu basi unakata rufaa kwa njia ya kawaida kabisa bila kelele wala mbwembwe.Fahamu kua hapa mahakama imetoa hiyo hukumu kwa mujibu wa sheria na hajakiuka sheria yeyote kwa hivyo washtakiwa wakate rufaa kama hawajaridhika na hukumu basi. Kelele nyingine nje ya utaratibu huo ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangejitokeza vipi wakati tayari kesi ilikua na wakili wa utetezi? Na kesi inapotolewa hukumu jamhuri ikashinda, wakili wa utetezi hua ni uamzi wake atake kuachana nayo ama aendelee nayo ni yeye tu. Kwahiyo anaweza kua anajua cha kufanya lakini sio lazima akifanye bali ni hiali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruhusiwa kuweka wakili wa utetezi mda wowote kesi ikiwa mahakamani hata kama ni wa kuja kukusikilizia hukumu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ikiwa mhukumiwa hajaridhika na hukumu si jukumu lake kuomba rufaa au ni jukumu la mtu mwingine kuja kupiga mbiu ya mgambo kumshawishi akate rufaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni mbumbubu wa sheria, hawajui waanzie wapi waishie wapi, na mazingira ya sasa ya UONEVU wa serikali hii, one has to come out to help the needy!
 
Unawapataje wakati wako magereza na wana ndugu zao!!! Unauliza swali gani wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu hawajui lolote kuhusu taratibu za mahakama! Unadhani wote wako kama wewe? Kasome watu wamefungwa miaka 30 kwa kukosea time limit ku lodge notice of appeal.. can you imagine! Nitakuwekea kasi ya court of appeal ambayo mtu alifungwa miaka 30 baada ya kuchelewa ku lodge notice of appeal. Alijitetea kuwa hakupata mtu wa kumwelekeza la kufanya huko magereza!
 
Siyo kweli kuhusu magereza kwakua wana wanasheria kwajili ya kusaidia wale wote wenye kuhitaji hiyo huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
roll.

The Oxford Dictionary defines touting as ‘solicit custom persistently; pester customers (touting for business)’ or ‘solicit the custom of a person or for a thing’.

On the plain wording it is thus clear that approaching potential clients without their consent or invitation repeatedly and aggressively, thus forcing oneself on them in a bold manner, would on the face of it suffice as touting....

Hiyo ni one of the professional abuse. Is prohibited kwa mawakili sio tu Tanzania, ni sehemu ninyi Dunia.
Ninyi wasomi na wajuaji mnaishia hapa hapa JF na mbwe mbwe zenu... Mnataka dogo wa 14 yrs afie lupango....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaacha kujibizana na wewe. nakwambia nakuwekea kesi kama hiyo. ngoja niitafute. Ipo kwenye computer yangu ngoja niitafute. usiwe mbishi
Wewe weka tu ila mm ninachosema nina uhakika nacho. Hata hivyo mahakama ya rufaa hua inaelewa sana na ndiyo maana kuna kipengele cha kisheria cha kuomba kukata rufaa nje ya mda na Ikiwa mahakama itaridhika au kutoridhika na sababu hizo hilo ni swala jingine manake mahakama nayo inabusara na ubinadamu pia.

walikataa kuwa hiyo siyo sababu
 
Back
Top Bottom