Kabla ya kujibu coment ya mtu nitakua nasoma kwanza jina LA mtu huyo ikiwezekana nitaangalia ni mwanachama tangu Lin na angalauHivi kutaka kuwatetea ndio kusema kuwa hawana hatia? hakuna kosa lililotendeka? kituo hakikuchomwa?
Na kama wanadhani hao waliohukumiwa sio Wahusika, wao wanawajua wahusika halisi?
Angeenda kimya kimya tusingekosa neno!! Duuu jamaa aliamua kuwafat kwao kawashawishi wakate rufaa... Anatka kuwapiga pesa Huyo... Siangetoa tarifa kwa vyombo vya habar etc etc.Kuingilia kati ni sawa lkn mda wote kesi ikiendelea alikua wapi?Na ni kwanini asiende masijala ya mahakamani au magereza ili apate anuani za wahusika awafate kimyakimya km kweli ana nia ya kuwasaidia.Je huu wa kupiga mbiu ndiyo utaratibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo sheria inaelekeza. Kosa la Arson hukumu yake ni Jela Maisha. Subiri ukija kuchomewa nyumba ndiyo utaona maumivu yake!Kweli hata kama, yaan kuchoma kituo ndio upigwe maisha jela!? Kulikuwa hakuna namna nyingine ya adhabu? Aisee inauma lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia ni parimateria, nikiwa na maana ya kukuletea already interpreted one...Tafuta Kanuni za Tanzania we mzee
Kwani kama alikuwepo huyo Wakili wa kuwatetea washtakiwa na kesi ikamuliwa ndivyo sivyo si anajua nini cha kufanya na namna ya kufanya? Ingekua bora hao wanaojitokeza mda huu wangejitokeza mapema ili kuhakikisha haki inatendeka vinginevyo kuna walakini lkn acha tu waendeleeAngeenda kimya kimya tusingekosa neno!! Duuu jamaa aliamua kuwafat kwao kawashawishi wakate rufaa... Anatka kuwapiga pesa Huyo... Siangetoa tarifa kwa vyombo vya habar etc etc.
Mda wote wa kesi alikua wapi? Kwahiyo kesi iliendeshwa bila wakali wa kuwatetea watuhumiwa? Naamin palikua na wakili wa kuwatetea watuhumiwa sasa angejitokeza vipi? Huo sinndio ungekua uvunjifu wa sheria!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama nawewe ni wakili mkuu ila kama sio basi wote tunabahatisha, hatujui. Niluwahi kuona mtu hana wakili wa kumtetea lakini mahama ikampatia wakili wa serikali. Sasa kama wakili walikua nae kwanini aingilie? Na wakili akishapangwa kusimamia kesi flani huwez kubadili kienyeji hivi hua ni mchakato hasa na mda mwingine hakimu anauwezo wa kukataa usibadili wakili maana kubadili wakili maana yake ni kuanza kusikiliza kesi upya. Sasa tuseme kesi imeunguruma kwa miezi tisa! Inakalibia kuisha mnasema mnataka kubadili wakili, mahikimu wengi hua hawavumilii hicho kitu.Utaratibu, utaratibu utaratibu,utaratibu, hajakatazwa kuwatetea infact,alipaswa kuingilia kati wakati kesi ikiendelea. Jukumu la wakili ni kuisaidia mahakama itoe maamuzi ya haki pindi kesi ifikishwapo mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu.It's doesn't matter watu wa sheria kwanza angalieni mnamsaidia vipi huyo kijana,hayo mengine mngeachana nayo kwanza
Wangejitokeza vipi wakati tayari kesi ilikua na wakili wa utetezi? Na kesi inapotolewa hukumu jamhuri ikashinda, wakili wa utetezi hua ni uamzi wake atake kuachana nayo ama aendelee nayo ni yeye tu. Kwahiyo anaweza kua anajua cha kufanya lakini sio lazima akifanye bali ni hiali yake.Kwani kama alikuwepo huyo Wakili wa kuwatetea washtakiwa na kesi ikamuliwa ndivyo sivyo si anajua nini cha kufanya na namna ya kufanya? Ingekua bora hao wanaojitokeza mda huu wangejitokeza mapema ili kuhakikisha haki inatendeka vinginevyo kuna walakini lkn acha tu waendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
SERIKALI inawajibika kukuwekea Wakili ikiwa unakabiliwa na kesi ya mauaji na huyo wakili si wa SERIKALI bali ni wa kunitegemea.Labda kama nawewe ni wakili mkuu ila kama sio basi wote tunabahatisha, hatujui. Niluwahi kuona mtu hana wakili wa kumtetea lakini mahama ikampatia wakili wa serikali. Sasa kama wakili walikua nae kwanini aingilie? Na wakili akishapangwa kusimamia kesi flani huwez kubadili kienyeji hivi hua ni mchakato hasa na mda mwingine hakimu anauwezo wa kukataa usibadili wakili maana kubadili wakili maana yake ni kuanza kusikiliza kesi upya. Sasa tuseme kesi imeunguruma kwa miezi tisa! Inakalibia kuisha mnasema mnataka kubadili wakili, mahikimu wengi hua hawavumilii hicho kitu.
Halafu unaposema alipaswa kuingilia kati wakati kesi ikiunguruma mahakamani, ulikua unajua hukumu ya kesi itakua ni kifungo cha maisha jera? Bila shaka wengi hatukitegemea hiyo hukumu Kali kiasi kile na jebra kambole nae hakutegemea ndio maana kajitokeza kutetea maana kaona haki haikutendeka/ sheria haikufuatwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruhusiwa kuweka wakili wa utetezi mda wowote kesi ikiwa mahakamani hata kama ni wa kuja kukusikilizia hukumu tu.Wangejitokeza vipi wakati tayari kesi ilikua na wakili wa utetezi? Na kesi inapotolewa hukumu jamhuri ikashinda, wakili wa utetezi hua ni uamzi wake atake kuachana nayo ama aendelee nayo ni yeye tu. Kwahiyo anaweza kua anajua cha kufanya lakini sio lazima akifanye bali ni hiali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inasema adhabu ni kifungo cha maishaKweli hata kama, yaan kuchoma kituo ndio upigwe maisha jela!? Kulikuwa hakuna namna nyingine ya adhabu? Aisee inauma lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni mbumbubu wa sheria, hawajui waanzie wapi waishie wapi, na mazingira ya sasa ya UONEVU wa serikali hii, one has to come out to help the needy!Sasa ikiwa mhukumiwa hajaridhika na hukumu si jukumu lake kuomba rufaa au ni jukumu la mtu mwingine kuja kupiga mbiu ya mgambo kumshawishi akate rufaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu hawajui lolote kuhusu taratibu za mahakama! Unadhani wote wako kama wewe? Kasome watu wamefungwa miaka 30 kwa kukosea time limit ku lodge notice of appeal.. can you imagine! Nitakuwekea kasi ya court of appeal ambayo mtu alifungwa miaka 30 baada ya kuchelewa ku lodge notice of appeal. Alijitetea kuwa hakupata mtu wa kumwelekeza la kufanya huko magereza!Unawapataje wakati wako magereza na wana ndugu zao!!! Unauliza swali gani wewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli kuhusu magereza kwakua wana wanasheria kwajili ya kusaidia wale wote wenye kuhitaji hiyo huduma.Kuna ndugu hawajui lolote kuhusu taratibu za mahakama! Unadhani wote wako kama wewe? Kasome watu wamefungwa miaka 30 kwa kukosea time limit ku lodge notice of appeal.. can you imagine! Nitakuwekea kasi ya court of appeal ambayo mtu alifungwa miaka 30 baada ya kuchelewa ku lodge notice of appeal. Alijitetea kuwa hakupata mtu wa kumwelekeza la kufanya huko magereza!
Nitaacha kujibizana na wewe. nakwambia nakuwekea kesi kama hiyo. ngoja niitafute. Ipo kwenye computer yangu ngoja niitafute. usiwe mbishiSiyo kweli kuhusu magereza kwakua wana wanasheria kwajili ya kusaidia wale wote wenye kuhitaji hiyo huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wakili "msomi" ni vyema akajifunza kutofautisha kati ya its na it's.
Ninyi wasomi na wajuaji mnaishia hapa hapa JF na mbwe mbwe zenu... Mnataka dogo wa 14 yrs afie lupango....roll.
The Oxford Dictionary defines touting as ‘solicit custom persistently; pester customers (touting for business)’ or ‘solicit the custom of a person or for a thing’.
On the plain wording it is thus clear that approaching potential clients without their consent or invitation repeatedly and aggressively, thus forcing oneself on them in a bold manner, would on the face of it suffice as touting....
Hiyo ni one of the professional abuse. Is prohibited kwa mawakili sio tu Tanzania, ni sehemu ninyi Dunia.
Wewe weka tu ila mm ninachosema nina uhakika nacho. Hata hivyo mahakama ya rufaa hua inaelewa sana na ndiyo maana kuna kipengele cha kisheria cha kuomba kukata rufaa nje ya mda na Ikiwa mahakama itaridhika au kutoridhika na sababu hizo hilo ni swala jingine manake mahakama nayo inabusara na ubinadamu pia.Nitaacha kujibizana na wewe. nakwambia nakuwekea kesi kama hiyo. ngoja niitafute. Ipo kwenye computer yangu ngoja niitafute. usiwe mbishi
Hakuna mtuhumiwa aliyekua na miaka 14 wakati kesi hiyo inafunguliwa. Mtuhumiwa mdogo kabisa alikua na miaka 18.Tuache uzushi.Ninyi wasomi na wajuaji mnaishia hapa hapa JF na mbwe mbwe zenu... Mnataka dogo wa 14 yrs afie lupango....
Sent using Jamii Forums mobile app
walikataa kuwa hiyo siyo sababuWewe weka tu ila mm ninachosema nina uhakika nacho. Hata hivyo mahakama ya rufaa hua inaelewa sana na ndiyo maana kuna kipengele cha kisheria cha kuomba kukata rufaa nje ya mda na Ikiwa mahakama itaridhika au kutoridhika na sababu hizo hilo ni swala jingine manake mahakama nayo inabusara na ubinadamu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app