Fatma Karume, yanayofanywa na Kambole ni sahihi?

Ni sawa, anawaita awape msaada wa kisheria kama mwanaharakati baada ya kuona kuna uonevu! Kuna kosa gani. Nadhani hujaelewa kifungu hicho tafsiri yke, you have a wrong interpretation!
Awapi....jamaa yupo Desperate sana anatafuta kiki sana ila tatizo hana nyota!

Huyo ni Ambulance Chaser.......
 
Huyo jamaa yupo over persistent! Anahangaika Sana.. seems he doesnt make money atleast he is not busy
 
Tout bila shaka ni kushawishi ili kuuza, na iwe inajirudia rudia (persistently).
Je, hiyo tout unayoongelea wewe imefikiwa na Kambole?
Utakuwa mwanasheria wa CCM wewe
 
Ok nenda kawashtaki mahakani sasa
 
Technically he is right. Ethically??? No way, attorney hutakiwi uwe such desperate
 
Jamaaa mbona kama unachanganya madesa???


Au unadhani CLIENT ni mpaka akulipie hela? Hujui kua hata wale wa Probono japo hawakupi hata kumi nao ni clients??

Kuhusu matangazo ya bingwa....mbona hata TLS wanatoaga matangazo kuhusu Legal Aid Services??

Mwambie jamaa yako aacha kua desperate sana
 
Ndiyo sheria inaelekeza. Kosa la Arson hukumu yake ni Jela Maisha. Subiri ukija kuchomewa nyumba ndiyo utaona maumivu yake!
Acha kukurupuka....hiyo hukumu ni Maximum.... Sheria haijaweka Minimum yake.....ila kabla mtu hajapigwa kifungo maximum...lazima kuwe na kitu hao wasomi wanaita "aggravating cricumstances"....sasa ukiulizwa labda kulikua na aggravating circum gani utaweza kujibu?
 
Hujui kitu may be ndiyo uko chuo unasoma!!
 
Sasa kama wana wakili wa utetezi....kwanini jamaa ana kiherehere cha kuchukua kesi ambayo tayri ina wakili?? Yani ni kama anaiba wateja wa jamaa mwenzake...

Si amuachie huyo wakili aliyekuepo aendelee na wateja wake kwenye Rufaa????
 
Hii ni karne ya 21 masijala na anauni wapi na wapi au wewe ni CCM ?
 
Hujui kitu may be ndiyo uko chuo unasoma!!
We taaira kweli.....Arson penal code imesema adhabu ni Maisha.....

Je sema kama kosa ka Arson lipo kwenye Cap 60 uli tuseme kua Hakimu ni lazima ahukumu Maisha maana ndo adhabu pekee???

Najua we ni kilaza...Cap 60 ni Minimum Sentences Act
 
"Those who are crying for help" sasa hapa biashara iko wapi?
au mimi ndo nashindwa kuelewa maana ya help?
Nadhani kati yetu wawili lazima mmoja anaumwa ugonjwa
unaoitwa MWENDO KASI.
 
Kweli hata kama, yaan kuchoma kituo ndio upigwe maisha jela!? Kulikuwa hakuna namna nyingine ya adhabu? Aisee inauma lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchoma Kituo cha Polisi ni kosa la UGAIDI.
Hivyo natumaini mwananchi unajua adhabu za makosa ya KIGAIDI.
Kama kutatokea utetezi basi ni haki ya watuhumiwa kutetewa.
Ila kama kweli walikutwa na makosa ya
" kuchoma kituo cha polisi hiyo adhabu wanastahili "
Unaweza kutenda kosa bila kujua ghalama yake, na ujue sheria ni msumeno.
Jiulize mwananchi, unapochoma kituo cha polisi lengo lako hasa ninini ?
Je KIBITI si ilianza hivyo hivyo au mmeisha sahau ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wakili "msomi" ni vyema akajifunza kutofautisha kati ya its na it's.
Wrekless thinking

Certified idiot always rely on opposing, You have no idea about pertaining Criminal law and procedure

Wewe kazi yako hapa JF ni kuongea upumbavu uliosomea

Mwaka mzima ukipitia unachoandika unaweza kupata kichefuchefu

Jitu zima Mwaka mzima unaandika takataka

Certified idiot
 
Wasipoangalia hao wafungwa wataumia zaidi.sabbu kuna watu wanataka wawatumie kama mgongo wa kupandia kisiasa! Wanamtumia huyo dogo kama fursa.! Je hakimu hakuona kuwa alikua na miaka 14 wakati akitenda hilo kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasipoangalia hao wafungwa wataumia zaidi.sabbu kuna watu wanataka wawatumie kama mgongo wa kupandia kisiasa! Wanamtumia huyo dogo kama fursa.! Je hakimu hakuona kuwa alikua na miaka 14 wakati akitenda hilo kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa hiyo unataka kusema utaratibu wa kukata rufaa ufutwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…