Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab Mwamwindi Pamoja na Katibu wa UWT Mkoa Na Wajumbe wa kamati ya Utekelezaji Na Baraza Kuu UWT Mkoa.
Akizungumza katika Mkutano wa UWT Wilaya ya Mufindi Aliwashukuru Wajumbe wa UWT kwa kumchagua kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu, Pamoja na Ushirikiano waliomuonyesha yangu amechaguliwa.
Katika Mkutano huo Ndugu Fatma Rembo aliwachangia UWT Mufindi FEDHA taslimu Shilingi Milioni Mbili kwaajili ya Nyumba ya Katibu. Pia, akaahidi kutoa Pikipiki kwa Kila Wilaya katika Mkoa wa Iringa ili zitumike kurahisisha utendaji wa Kazi za Jumuiya ya Wanawake (UWT) Kila wilaya.
Mjumbe wa Baraza Kuu ndugu Fatma Rembo ameahidi kuendelea kushirikiana na Wanawake wote wa Mkoa wa Iringa ikiwa ni Pamoja na kuhakikisha anakuwa mstari wa Mbele kuhakikisha Ustawi wa Wanawake wa Iringa kiuchumi unakuwa Mkubwa.
Mbali na kuwashukuru Wanawake wa UWT Mhandisi Fatma Rembo aliwasisitiza Wanawake wote kuhakikisha wanamuunga mkono Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani nia na dhamira yake njema ya kuwaletea Maendeleo watanzania inapaswa kuungwa mkono na yeyote mwenye mapenzi Mema na Taifa letu.
#Iringanamamasamia
#uwtimara
#Kaziindelee
#ujamaa
#CCMImara
#CCMIMETIMIA