Fat'wah toka kwa Maulamaa wa kiislamu

Fat'wah toka kwa Maulamaa wa kiislamu

View attachment 2807026
Namuomba Allah S.W afanye wepesi kwa hili in shaa Allah!

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
.Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
 
Wewe ni muislam kwasababu ya Matatizo ya akili, ukitibiwa ilo tatizo uislamu bye bye.
 
20231014_121104.jpg
 
Namuomba Allah S.W afanye wepesi kwa hili in shaa Allah!

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
UKIMBARIKI ISRAEL UTABARIKIWA. UKIMLAANI ISRAEL UTALAANIWA.

Maneno ya Mungu mwenyewe wa kweli.

Ndo maana hampendani na kuuana wenyewe kwa wenyewe licha ya kumuabudu huyo Mungu wenu mmoja hana mshirika.

Namalizia kwa kusema.

VITA YAKE MUNGU WA KWELI NANI ATASHINDA?

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL.

BORA KUDHARAULIWA NA KUTEMEWA MATE NA MYAHUDI KWANI NI BARAKA. KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI LAANA.

Don Vill incharge Bwana Utam Adiosamigo Malaria 2 ITR Alwaz Ritz FaizaFoxy
 
Kwani Allah ndio aliwaambia wavuke mpaka wakawavamie wenzao Israel wawaue na kuwatembeza uchi kisha kuanza kupiga selfie huku wakitabasamu na kufurahi?

Acha wachezee kichapo akili zinyooke msimuingize Allah kwenye ujinga wenu
 
Ajabu kweli kweli. Inawezekana kamungu kao kaliwaambia hamasi rusha maroketi israel
 
Kwa nini akili ya wenzetu inakataa kukubali kwamba, Hamasi ndio wachokozi?

Waliwavamia wayahudi wakiwa kwenye sherehe yao wakawateka!

Mbona wao wanaona ni uchokozi tena wa wayahudi? Akili zingine hizi ni za majini siyo siri
 
Mauwaji yanayo endelea Gaza, wakulaumiwa ni HAMAS.
 
UKIMBARIKI ISRAEL UTABARIKIWA. UKIMLAANI ISRAEL UTALAANIWA.

Maneno ya Mungu mwenyewe wa kweli.

Ndo maana hampendani na kuuana wenyewe kwa wenyewe licha ya kumuabudu huyo Mungu wenu mmoja hana mshirika.

Namalizia kwa kusema.

VITA YAKE MUNGU WA KWELI NANI ATASHINDA?

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL.

BORA KUDHARAULIWA NA KUTEMEWA MATE NA MYAHUDI KWANI NI BARAKA. KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI LAANA.

Don Vill incharge Bwana Utam Adiosamigo Malaria 2 ITR Alwaz Ritz FaizaFoxy
Ukimbariki siyo Ukiibariki.
Siku nyingine tofautisha mtu (Yakobo) na nchi( ya waunga mkono ushoga)
Acha kabisa kulinganisha mtu wa Mungu (Yakobo a.k.a Israel) na haya mashetani ya Tel Aviv
 
Kafiri unachuki vibaya
Unajua chuki
Allah aliomba kwa Mungu tuangamizwe na hakujibiwa

Allah anasema
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Back
Top Bottom