Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kama kuna wanaojuwa maulamaa ni nani basi atajuwa kuwa maulamaa wameshadondosha kombora lao la ushindi.Namuomba Allah S.W afanye wepesi kwa hili in shaa Allah!
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
Ni wakati wa US na Israel kufunga virago na kukimbia.Kombora la maulamaa linalenga shabaha kwa uhakika kuliko lazer gujided missiles