Fauli shule kisha Nenda chuo kikuu, pata degree, utapata ajira nzuri, anzisha familia nzuri, ni formula ya miaka ya 90 haifanyi kazi zama hizi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Hii formula imegeuka

Screenshot_20250226-005746_1.jpg
 
Ndio maana kila siku nawaambia acheni kujistress kulipa mamilioni EMS wakati uwezo wenu kifedha ni wa ku unga unga. Haya sasa twende kazi, kimbia haraka saba hadi shule ya EMS watoe watoto wako wapeleke Kayumba. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
 
Huyu role model wako kasomea kayumba ila watoto wake kapeleka ems kwa ajili ya bright future
 
Si kwa sababu ni star ulitegemea a wapeleke wapi?
 
Huyu role model wako kasomea kayumba ila watoto wake kapeleka ems kwa ajili ya bright future
Watu huwa hawajui Ems inambadilisha mtoto hata kama asipokuwa na maisha mazuri ila amejengwa kwenye msingi wa deep thinking, sina lengo la kubrag ila nimesoma lake primary mwanza tulikuwa na kipindi cha physical Education ni kama kipindi cha michezo ila hii ni kwa darasa moja moja kama kipindi mna shiriki michezo mbali mbali sio mpira wa miguu tu, kuna kipindi cha kusoma vitabu hii inamsadia mtoto uwezo wa kusoma kitabu na kuelewa, pia kwa kuwa unasoma na wazungu,wahindi, waarabu hii inamsadia mtoto kutoa ujinga wa kuwaona watu weupe ni bora
 
Kumbe wa wakishua kabisa. Upo sahihi mkuu. Ems inamjenga vizuri mtoto

Back
Top Bottom