Ulikwenda nchi za ulaya Mashariki, huko ndio huwa mnafanywa wajinga wa aina yako. Haiwezekani ukawa ulienda nchi za Ulaya ya Magharibi.Nilikwenda Ulaya mwaka 1995 nikarudi 2003, nipo exposed kuliko unavyodhani.
Sikwenda kusomea propaganda nilifuata elimu nyinginezo.Ulikwenda nchi za ulaya Mashariki, huko ndio huwa mnafanywa wajinga wa aina yako. Haiwezekani ukawa ulienda nchi za Ulaya ya Magharibi.
Ukatoka na ujinga huu unaoouonyesha hapa. Maana wengi wa wanaokwenda huko hurudi na mavitabu makubwa, na sehemu kubwa huwa rigid. Ww ni mfano halisi wa ujinga huo.Sikwenda kusomea propaganda nilifuata elimu nyinginezo.
Na nyinyi CHADEMA mnaotanguliza ujuaji kwenye kila jambo mlisomea Ulaya gani?.Ukatoka na ujinga huu unaoouonyesha hapa. Maana wengi wa wanaokwenda huko hurudi na mavitabu makubwa, na sehemu kubwa huwa rigid. Ww ni mfano halisi wa ujinga huo.
Wewe utakuwa kijana mdogo, akili zao zipo namna hii. Unaniita mpumbavu nikikupa jibu saizi yako unakuja na mapovu ndoo nzima.Mpumbavu kama wewe ambaye umejianika hapa hatutakuacha siku ya kisasi iko karibu sana labda uwahi kukimbia kwenu 🇷🇼.
Huhitaji kusomea ulaya, unatakiwa kuwa msomi wa kweli. Mfano mrahisi ni uwezo wa Lisu wa sheria na kasomea hapa hapa. Yaani kilaza kama ww ungeenda usingekuwa na lolote la maana huko mahakamani, zaidi ya kusubiri Jaji aagizwe.Na nyinyi CHADEMA mnaotanguliza ujuaji kwenye kila jambo mlisomea Ulaya gani?.
Lissu hana chochote kisheria. Mtupu tu.Huhitaji kusomea ulaya, unatakiwa kuwa msomi wa kweli. Mfano mrahisi ni uwezo wa Lisu wa sheria na kasomea hapa hapa. Yaani kilaza kama ww ungeenda usingekuwa na lolote la maana huko mahakamani, zaidi ya kusubiri Jaji aagizwe.
Umesahau kuwa wewe ndiye ulianza kucross line na kufika kwa wazazi? Au unajiona una kinga ya kutukana watu ukirudishiwa unakuwa mbogo. Ukija kihuni nakujibu kihuni vile vile, au vile huko kwenu mlivyozoea kuwaonea na kuwadharau Wahutu basi kila mtu unamuona ni wa hovyo.Wewe utakuwa kijana mdogo, akili zao zipo namna hii. Unaniita mpumbavu nikikupa jibu saizi yako unakuja na mapovu ndoo nzima.
Matusi umeanza wewe unataka unirefushie pua nikuangalie tu, unataka heshima wakati mwenyewe hujiheshimu. Rejea post yako # 304 uone kama ulistahili kujibiwa kiungwana.Rudi kwenye mada Gen Z acha ujuaji wa kujifanya unayajua sana matusi.
Huyu fala anajigamba amesomea na kuishi Ulaya lakini kila siku anapost uchawa tu, mtu aliyeelemika hawezi kutumika kiboya na kuwa chawa.Huhitaji kusomea ulaya, unatakiwa kuwa msomi wa kweli. Mfano mrahisi ni uwezo wa Lisu wa sheria na kasomea hapa hapa. Yaani kilaza kama ww ungeenda usingekuwa na lolote la maana huko mahakamani, zaidi ya kusubiri Jaji aagizwe.
Hahitaji hata kusifiwa, ukweli uko wazi kuhusu yeye.Lissu hana chochote kisheria. Mtupu tu.
Anayejipa moyo hapa ni nani kama siyo nyie mnaotapatapa na fikra potofu kama hizi ulizoandika hapa..Mnajipa moyo marafiki zetu wahanga wa October 29. Mafwele akidhurika wapo wengi tu huko kwenye kikosi maalum cha polisi (task force).
Unaimba ngonjera zilezile za siku zote kana kwamba hakuna kilichobadilika. Wewe kweli ni zombie hasa!Hamuwezi kuleta upuuzi wa kuiga kutoka huko Madagascar na Sri Lanka hapa Tanzania halafu mkaachwa mtambe tu, mtashughulikiwa ipasavyo.
SSH huko majimboni anazidi kupeta kwa namna anavyotimiza ahadi mbalimbali za kwenye ilani ya CCM.
Humu JF na kwenye majukwaa ya mitandao hana umaarufu kwa sababu ya chuki za baadhi ya vijana ingawa na wao walishindwa kujikusanya kwa ajili ya maandamano ya tarehe 9 na 25 Desemba vijana walishafahamu madhara ya vurugu kwenye maisha yao na yanaowazunguka.
Mjipange vizuri zaidi ili muweze kueleweka.
Hakuna chochote mnachoweza kumfanya SSH akiwa ameshakula kiapo cha urais, endelea tu kuuma meno kwa hasira.Unaimba ngonjera zilezile za siku zote kana kwamba hakuna kilichobadilika. Wewe kweli ni zombie hasa!
La muhimu nilsilochoka kukumbusha: Samia ni mhalifu anayeendelea kufanya uhalifu akitumia mitutu ya bunduki.
Kama ilivyo kwa mhalifu yeyote, ni lazima ipatikane njia ya kumfikisha mbele za sheria akawajibishwe; vinginevyo atakutana na njia zilezile zinazowakuta majambazi wote.
Kujiondoa akili kwako hakutamsaidia vyovyote huyo mhalifu.
Endelea kuandika vitu vyenye lengo la kukupunguzia hasira, pole sana mkuu Kalamu.Anayejipa moyo hapa ni nani kama siyo nyie mnaotapatapa na fikra potofu kama hizi ulizoandika hapa..
Mategemeo yenu ya kuendeleza uhalifu ili mbaki madarakani siyo endelevu hata kidogo. Uhalifu hatma yake ni kukomeshwa tu, siyo kuendelezwa kwa namna nyingine yoyote.
Ninapokueleza kila mara kuwa wewe na huyo Samia akili zenu zimejaa uhalifu tu na kutenda maovu dhidi ya binaadam wengine, uwe angalau mara moja moja utulie na kuelewa ulichosoma.
Wewe kila siku unaniita mimi mnyarwanda unakuja na maneno ya mikwara mingi wakati hunijui, tumia lugha za kistaarabu hili jukwaa lina kila aina ya watu.Matusi umeanza wewe unataka unirefushie pua nikuangalie tu, unataka heshima wakati mwenyewe hujiheshimu. Rejea post yako # 304 uone kama ulistahili kujibiwa kiungwana.
Wewe ndio umeanza lugha za vitisho. Jitahidi upunguze ghadhabu kwenye maongezi matusi hayauzwi.Umesahau kuwa wewe ndiye ulianza kucross line na kufika kwa wazazi? Au unajiona una kinga ya kutukana watu ukirudishiwa unakuwa mbogo. Ukija kihuni nakujibu kihuni vile vile, au vile huko kwenu mlivyozoea kuwaonea na kuwadharau Wahutu basi kila mtu unamuona ni wa hovyo.
Tobaaaaaa!!nitunuku basi