Hawa nguruwe wafuatao siwapi maana yoyote tena katika takataka wanazoweka humu.We mzee wa kubwabwaja vipi hujachoka tu? Naona mnapeana moyo kuwa mmemteka mafwele
Yule Mange ni dalali.Hizi habari zimeandikwa pia na
Rachel Dangwa na Kigogo ngoja tupate verification ya Mange
Siwezi kuchoka hata dakika moja kukukumbusha juu ya mhalifu Samia Suluhu Hassan.We mzee wa kubwabwaja vipi hujachoka tu? Naona mnapeana moyo kuwa mmemteka mafwele
Kwa umri wako ulitakiwa uwe na uwezo mkubwa wa ku reason mambo kuliko kushangilia kila utumbo mtandaoni hapo umeshashangilia kifo cha mafwele na stori zenu za Abunuwas alafu mlivyokua nyumbu kesho mtajisahau mnaanza kusema mafwele kateka mtuHawa nguruwe wafuatao siwapi maana yoyote tena katika takataka wanazoweka humu.
1. Lucha
2. Steven Joel Ntamusana
3. Stuxnet
4. Tlatlaah
Wote wanafugwa na mhalifu Samia Suluhu Hassan; na wote waliingia JF kwa pamoja kufanya kazi waliyotumwa ambayo sasa imekuwa ngumu sana kwao kwa sababu si kazi nyepesi kumtetea mhalifu ambaye uhalifu wake upo wazi kabisa.
Wewe kama nguruwe, akili za "ku-'reason mambo" zinatoka wapi?Kwa umri wako ulitakiwa uwe na uwezo mkubwa wa ku reason mambo kuliko kushangilia kila utumbo mtandaoni hapo umeshashangilia kifo cha mafwele na stori zenu za Abunuwas alafu mlivyokua nyumbu kesho mtajisahau mnaanza kusema mafwele kateka mtu
Kwasababu nyumbu siku zote huwa hawana akili hapo wanakua wamejisahau kuwa walidanganyana kuwa wamemteka na kumuua
Endelea kubwabwaja mtandaoni ila usijaribu kuingia mtaani kufanya ule uhalifu wenu wa kiNyumbu maana utakacho kutana nacho ni kushughulikiwa kwelikweliWewe kama nguruwe, akili za "ku-'reason mambo" zinatoka wapi?
Kuna jambo unaloweza kureason chochote juu yake mbali ya kusubili makombo ya Samia ambayo ni wazi yanaelekea kwenye ukomo?
Jaribu siku moja kuondokana na unguruwe wako halafu uje hapa uone kama huko kichwani mwako kuna kitu.
Fungua "vibandiko" vyako vyote humu JF tokea Aug. 24 2018; unionyeshe hata kimoja tu ulichojadili jambo lolote la maana humu JF.
Mambo mrembo?Kwa umri wako ulitakiwa uwe na uwezo mkubwa wa ku reason mambo kuliko kushangilia kila utumbo mtandaoni hapo umeshashangilia kifo cha mafwele na stori zenu za Abunuwas alafu mlivyokua nyumbu kesho mtajisahau mnaanza kusema mafwele kateka mtu
Kwasababu nyumbu siku zote huwa hawana akili hapo wanakua wamejisahau kuwa walidanganyana kuwa wamemteka na kumuua
Pole sana mkuu Kalamu, usisahau kunywa vidonge kabla hujalala.Ni bora mara mia aliyeuliwa na ulevi wa gongo bila ya kuwafanyia waTanzania uhalifu kama alivyo Samia, ambaye inajulikana wazi hana kitu chochote kichwani.
Hawezi kujivunia uhalifu wa kuua waTanzania!
Hata nguruwe kama wewe unajivimbisha tu hapa kumpa sifa ambazo mwenyewe unaona hana!
SSH alizima jaribio la mapinduzi ushahidi upo.Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayeteseka sana wakati huu. Wewe huna uwezo wowote wa kumsemea ni namna gani uhalifu alioufanya unavyomtesa sasa hivi. Upo hapa kupoteza muda tu.
Uhalifu wameufanya wale walioshinikiza vijana wakaingia barabarani kwa kutumia lugha za kichochezi.Yeye ni mhalifu.
Itakuwaje mhalifu ashindikane kupewa haki yake?
Hivi hujui kuwa yule mwili wake hata ukiminywa tu anazimia. Hujui hilo?
Halafu we single maza una maneno...Pole sana mkuu Kalamu, usisahau kunywa vidonge kabla hujalala.
Unawajuwa vizuri sana wahalifu halisi, na wewe ukiwa kifaa kilichochangia uhalifu huo.Uhalifu wameufanya wale walioshinikiza vijana wakaingia barabarani kwa kutumia lugha za kichochezi.
Mange, Lissu, Heche na wengine wengi wanaowajaza ujinga vijana wa kitanzania kila siku huko instagram.
Samia akiwa Amiri Jeshi Mkuu aliwajibika kuitetea dola aliyoapa kuilinda, kile kiapo lazima muelewe kinamaanisha nini.
Hakuna kesi ya ICC, kibao kinaweza kuwageukia wasaliti na machawa wao.Unawajuwa vizuri sana wahalifu halisi, na wewe ukiwa kifaa kilichochangia uhalifu huo.
Unataka tena niweke orodha?
Ona unavyoweweseka kama kichwani hazimo kabisa!SSH alizima jaribio la mapinduzi ushahidi upo.
Waambieni Lissu na Heche wanaweza kupelekwa wao ICC, uchochezi walioufanya una ushahidi mwingi
Joto linazidi kupamba moto. Anzeni kutafuta njia inayoelekea kwa wajomba. Hapa hamna kitu tena.Hakuna kesi ya ICC, kibao kinaweza kuwageukia wasaliti na machawa wao.
ICC imebuma, mlitumia taasisi nne za kimataifa kumshtaki Samia huko The Hague jamaa wameangukia pua.Ona unavyoweweseka kama kichwani hazimo kabisa!
Wapeleke basi huko ICC, unasubiri kitu gani?
Wewe ni mtu mwovu sana pengine hata zaidi ya Samia. Mmempa ushauri mbovu kabisa huyo mtu asiyekuwa na akili kichwani na sasa anaishi kwa mateso makubwa; huku nyinyi mkizidi kumtia simanzi kwa kukosa weledi kabisa ni namna gani mnapaswa kuleta utetezi wake hapa!
Imebaki sasa mnakuja tu hapa kujionyesha kuwa mpo tu kwa maandishi yasiyokuwa na maana yoyote!
Utamlinganisha vipi Prof. Machunda, kwa mfano na kituko hiki kinachokufuga wewe na bado ukajiona kweli unaweka utetezi wa watu kuutilia maanani?
Hiyo ICC si umeitaja wewe hapa. Inawatisha sana?ICC imebuma, mlitumia taasisi nne za kimataifa kumshtaki Samia huko The Hague jamaa wameangukia pua.
Hongera kijana subiri upate watoto wakue utakumbuka ujinga wako.Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.
Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.
Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.