Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Mkiitwa Matahira mnaanza kukasirika.
Nyie wapumbavu eti huyu Geoffrey ndo akawadanganya kuwa yeye ni mwanajeshi wa NATO na mkaamini.
Nyie wapumbavu na Matahira msio na akili mnaamini kila jambo.
NATO ina jeshi toka lini?
 
Kitu ambacho sifurahii ni mtu kuuwawa. Pamoja na yote aliyofanya mafwele bado sifurahii kusikia ameuwawa/ameuliwa. Furaha yangu ni endapo atakamatwa iwe ndani au nje ya nchi na kufungwa

Ukifurahia mafwele kuuwawa unakua huna tofauti na waliofurahia wale vijana wetu kuuliwa
 
Ni kwa sababu hayajakukuta, kwa sababu ndugu yako hajatekwa au kupotezwa... au wewe mwenyewe sio muhanga..
 
Umejichanganya sana kiasi kwamba umeharibu kila kitu.

Hakuna anayefurahia kifo cha mtu yeyote hata awe ni mwovu; lakini kama hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha uovu wake, why not!

Kipi ni bora kuzuia mwendelezo wa mauaji yanayofanywa na mtu mmoja mwovu, au kumwondoa huyo mwovu ili kusalimisha mauti kwa wengi!
 
Mjane, unajaribu kupoza machungu ya kufiwa na lile shetani lenu la Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…