Kuna kinywaji kimoja kinaitwa pingu, nasikia kule Msoma kinapatikana kirahisi lakini nina imani kinapatikana pande nyinginezo hapa Bongo... kinywaji hiki kinalewesha, na mtu akikilewa nakisikia kawaida ni lazima ajisaidie kwenye suruali yake (since wanywaji wengi ni wanaume katika jamii hizo). Hivyo basi ili kuondoa kasheshe, wanywaji wa pombe hii nasikia hufunga suruali zao miguuni kwa kamba, ili kuzuia vyoo vyao viisidondoke chini wakati wanarudi makwao.... hence jina PINGU!! Je, kuna yeyote anayeifahamu hii kitu?! 😉