Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

kwenye mambo ya maspais na nini, nainua kichwa juu kabisaa. Sihofii nyani wala ngedere. Kwanza Steve, ukishatengeneza/andaa mchemsho? au nilipoteza muda tu?usiniambie hukumbuki.

Mchemsho hushushwa na juisi au soda baridiiii.

Nakumbuka mama....ni ingredients ndizo nimekosa 🙁 🙁 nitakupatia anuani ya posta unitumia, walau kwa EMS au DHL
 
Nakumbuka mama....ni ingredients ndizo nimekosa 🙁 🙁 nitakupatia anuani ya posta unitumia, walau kwa EMS au DHL

nenda food town, ukikosa ingia kwenye store ya wavietnamese next to wingstop.
 
Baileys, Amarula

softdrinks-Pineapple and passion fruit juice, masala tea
 
YoYo, bado unakunywa chang'aa tu?!! 😀
 
tumeambiwa na wachumi wetu wakina John mashaka tubane matumizi......
...je, aliwatahadharisha pia jinsi ya kubana mapindo ya suruali miguuni katika kujisitiri?!
 
Back
Top Bottom