Naam.. Ndio hiyo haswa..., ingawa wengine hutumia majani ya chai.. lkn ile ya asali ndio orginal.. na huifadhiwa kwenye chupa za bia...--btw, wanzuki si ndiyo ile inayotumia asali kama main ingredient... au?
--Lizy, chai ya rangi ina kajina kengine "chai ya strungi"..... neno strungi nadhani limetokana na neno la kiingereza 'strong tea', am i right?
--btw, wanzuki si ndiyo ile inayotumia asali kama main ingredient... au?
Nakuja Huko soonKamanda, Ni bia toka Finland.... Jamaa wa mitaa ya huku wanapenda sana kunywa... Na Serikali yao inathibitisha hilo kwa kutoa ruhusa siku ya Ijumaa na Jumamosi ni ruska kunywa bia ndani ya public bus(daladala)
Aisee Mimi kukaa na wanywa sukri kama hizo huwa hatuelewani nao,huwa wanataka kurudi home saa 4 wakati round ndio zimekoleaFanta pinneaple na ulanzi, vikikosekana hivyo nakunywa maji!
Naipenda hii kwa sababu huwa hainipi hasara sana
Aisee Mimi kukaa na wanywa sukri kama hizo huwa hatuelewani nao,huwa wanataka kurudi home saa 4 wakati round ndio zimekolea
Maji ya dafu ni hatari shauri yako usiyazoee sana!yanaaminika kusababisha ugonjwa wa mabusha
Maji ya dafu ni hatari shauri yako usiyazoee sana!yanaaminika kusababisha ugonjwa wa mabusha
Lol hiyo harusi kama hamna ulabu siji.Uzuri wa shuhuli watu wayumbe!afadhali yo yo unapunguza namba ya watu wenye kulowesha nguo zako za ndani kama sio hadi za nje hususan kwenye harusi ya Max ....... kwani nategemea kukutana na wanaJF.
Kama hakuna ulabu, si inaruhusiwa kuja na ulabu wako binafsi...?Lol hiyo harusi kama hamna ulabu siji.Uzuri wa shuhuli watu wayumbe!