Samahani sijakuelewa tunashindana nini na mdogo wako?Samahani lakini, ila nina mdogo wangu wa kike naona mnashindana
Watu mbona huwa wanasema kwamba yanasafisha kibofu! Ila niliwahi kuhoji kama kweli yanasafisha kibofu mbona hayawekwi wala kuhimizwa Hospitalini, jamaa wakaikimbia hoja yangu.
Maji ya dafu ni hatari shauri yako usiyazoee sana!yanaaminika kusababisha ugonjwa wa mabushaWatu mbona huwa wanasema kwamba yanasafisha kibofu! Ila niliwahi kuhoji kama kweli yanasafisha kibofu mbona hayawekwi wala kuhimizwa Hospitalini, jamaa wakaikimbia hoja yangu.
Mambo ya hard liquor, sijui beer, sigara na bangi nawaachia wataalamu mie ni mwendo wa;
hii kitu ata nikiwa club ndio kinywaji changu....
Joto likizidi uko outdoors basi ni Strawberry milkshake...
au Strawberry Smoothie
Vinywaji hivi kaka hukohuko mamtoni, bar zetu za uswazi tarajia inzi na nyuki wengi mezani kwako, I would want share a table with you!!
Why I prefer water: water is composed of two gins, oxygin and hydrogin. Oxygin is pure gin while hydrogin is water in gin.
ur sick I tell you!
do you think so? what if I say H20 stands for hot water and CO2 stands for cold water?
Pundit nominates Mama for the Chemistry Nobel Prize
SteveD
Hapa umenifikisha kunako. Mimi kwa kawaida nikiwa kwa kijiji napendelea "WARI" a.k.a Mbege ya asubuhi ambayo haijachachuka. Nikiwa ukweni napiga Ulanzi orijino. Nikiwa bongo, kwa kuwa bia za chupa kubwa huwa haziivi vizuri kutokana na changamoto za kibiashara au huwa hazina ladha original isipokuwa Bingwa na The Kick, basi mie hukandamiza mojawapo ya hizo mbili kutegemeana na siku huku nikisindikiza kwa Valuee ya kiroba. Hapo mambo huwa mswano.