Je kwa siye tulio adicted na Hivi Vinywaji baridi, (Sijui kwa kimombo tatizo hili linaitwaje), mnaweza kutusaidia vipi? Maana haiwezekani kupita siku bila ya kupata japo Kinywaji baridi i mean soft drink. Yaani japo soda ya sprite iliyo changanywa na maziwa fresh.
Yaani hapa hakuna kuchaguwa so long ni soft drink twende tu. Ingekuwa ni pombe mngeniita cha pombe. Lakini mimi nipo Adicted na hivi vi'soft drink na nataka kuondokana na hili tatizo. Je naweza kupata msaada au idea ya kupunguza japo kidogo. Thanx