Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

kwenye mambo ya maspais na nini, nainua kichwa juu kabisaa. Sihofii nyani wala ngedere. Kwanza Steve, ukishatengeneza/andaa mchemsho? au nilipoteza muda tu?usiniambie hukumbuki.

Mchemsho hushushwa na juisi au soda baridiiii.

Nakumbuka mama....ni ingredients ndizo nimekosa πŸ™ πŸ™ nitakupatia anuani ya posta unitumia, walau kwa EMS au DHL
 
Nakumbuka mama....ni ingredients ndizo nimekosa πŸ™ πŸ™ nitakupatia anuani ya posta unitumia, walau kwa EMS au DHL

nenda food town, ukikosa ingia kwenye store ya wavietnamese next to wingstop.
 
Baileys, Amarula

softdrinks-Pineapple and passion fruit juice, masala tea
 
YoYo, bado unakunywa chang'aa tu?!! πŸ˜€
 
tumeambiwa na wachumi wetu wakina John mashaka tubane matumizi......
...je, aliwatahadharisha pia jinsi ya kubana mapindo ya suruali miguuni katika kujisitiri?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…