Inawezekana walimtosa ndugu Yao..Sidhani kama alifikia level za kuwa bodyguard kabisaa. Kuna mahala nilisona alikuwa personal chef wa Bin Laden. Kikubwa Osama alimkubali saaana huyo mwamba.
Kuna mshkaji mwengine hivi ana sijui ndo huyo huyo. Familia ilipata mpunga wa kutosha wakahama kutoka Zanzibar wakaja kununua uwanja maeneo ya kigogo-Mburahati wakajenga nyumba ya kishua miaka fulani mbeleni baada ya kadhia hiyo kuisha jamaa kufungwa.
Naomba ui-tag hapa hiyo thread nyingine inayofanana na hii.Nimekuja kujikumbushia hii thread baada ya kusoma nyingine inayoendana nayo.
Moshi gani unaizungumzia wewe au unaizungumzia moshibar ya ukonga? Mji wa Moshi una madanguro na Kuna clubs wanajiuza Hadi mashogaKumsaidia gaidi wa kiislamu , kwa mchaga ni ndoto
Tuache unafiki wale jamaa ni wapinga Kristo
Na mchaga anahamu na fursa , na sio hela -
Kama wangekuwa wanapenda hela sana , Basi ungekuta ni machangudoa
But ninapitaga sana Moshi , Ni hakuna machangudoa
Trump Siyo mtu wa kumwamini yule jamaa ni kinyonga ata Putin alikiri kuwa alikua akimwofia Sana,Hata Nelson Mandela alikuwa kwny orodha ya magaidi kwa mujibu wa Report za US na akaondolewa kwny hiyo orodha baada ya kustaafu
inategemea mawazo yako ni huru au yapo 'kwa mujibu '
ukiwa US sasa hivi kutumia Tiktok ni kosa ila kufirana sio kosa japo yote ni mambo binafsi
sio Mimi tu ninaepinga Ubabe wa US …hata Trump kasema akishinda urais anamaliza kwanza vita ndio anaenda kuapishwa
Putin anamhofia Trump? Haa haaa haaaaa.Trump Siyo mtu wa kumwamini yule jamaa ni kinyonga ata Putin alikiri kuwa alikua akimwofia Sana,
TL hakai kimara kona anakaa kimara baruti
Hajawa mzee sana bado anaendelea na pilika zake na le super noah yake
Tako hamna miguu vito matumbo makubwaBut sura nzuri ,
Nami nitag mkuuNaomba ui-tag hapa hiyo thread nyingine inayofanana na hii.
Wangeanza na walioondoa Camera eneo la tukio.Kwamba ingekua marekani watu wasiojulikana waliompiga risasi Tundu Lissu wangekamatwa?
Huyo Ghailan nakumbika alikamatwa Pakistani, kimsingi alichoreshwa na serikali ya Pakistani baada ya presha ya Marekani kuwa Pak wanaficha magaidi, hawatoi ushirikiano wakutosha, sasa hii ya kukamatwa South, nashangaa
Huyo akiyekamatwa South ni Khalfan Hamis Mohamed sio Ghailan, Ni mtu mwingine, kulikuwa na magaidi Kama wanne waliotoka Zenji waliohusika na tukio hilo
Ahmed Khalfan Ghailani profile
A profile of Ahmed Khalfan Ghailani, the Tanzanian who became the Guantanamo inmate to stand trial in a US civilian court, in connection with attacks in Kenya and Tanzania in 1998.www.bbc.co.uk
Kino hapo tulikimbizana mpk basi,alafu badae tunarudi kuangalia tatizo niniUle uzito wa ule mlipuko sitaweza kuusahau mpaka nakufa.!!!!!!!! Wakazi wa Magomeni watakuwa mashahidi kwenye hili!!!!!!!! Utafikiri lililipuliwa Magomeni!!!!!!!!!!!!!!! Kile kishindo hatari!!!!!!!!!!!!!
What next ndiyo tukajua CIA na FBI ni nani!!!!!!!! Ilala plus Magomeni ule mchakamchaka wake kama movie vile!!!!!!!!!!!!!
Hamna hiyo habari wewe hao wana satellite wanatuchora tu duniani.Ni kazi ya ujasusi. Marekani wana majasusi kila sehemu. Na hapa nazungumzia majasusi wale ambao ni sehemu ya hivyo vikundi vya kigaidi. Kwa mfano wanaweza ''kumtongoza'' mjahidina wa Al Shabab, wakampa fedha ndefu, wakamwambia endelee kuishi kwenye hilo kundi huku akijifanya ni mwenzao ili achukuwe siri na mikakati yao. Siri wanazozipata mara kwa mara ndiyo zinasaidia kutoa maonyo kama hayo.
Kwa Mara ya kwanza nimeona post ya raraa reree.TL hakai kimara kona anakaa kimara baruti
Hajawa mzee sana bado anaendelea na pilika zake na le super noah yake