The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Inawezekana walimtosa ndugu Yao..Sidhani kama alifikia level za kuwa bodyguard kabisaa. Kuna mahala nilisona alikuwa personal chef wa Bin Laden. Kikubwa Osama alimkubali saaana huyo mwamba.
Kuna mshkaji mwengine hivi ana sijui ndo huyo huyo. Familia ilipata mpunga wa kutosha wakahama kutoka Zanzibar wakaja kununua uwanja maeneo ya kigogo-Mburahati wakajenga nyumba ya kishua miaka fulani mbeleni baada ya kadhia hiyo kuisha jamaa kufungwa.
Hata Osama kuna watu wa karibu walimtosa kupata dau la hela