McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk.
Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi
Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki waliyotumia wameshaikamata
Wanasema baada ya kufanya hilo shambulio alikimbilia eneo la mtaani na so far hawajampata
Tunaendelea kusubiri updates