FBI wametuuzia mbuzi kwenye gunia mauaji ya padri zanzibar

FBI wametuuzia mbuzi kwenye gunia mauaji ya padri zanzibar

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Mwendesha mashitaka Zanzibar amerudisha faili polisi na kuwaambia wamtafute muuaji wa Padri Mushi,kwani aliyekamatwa sii muuaji.Tatizo linakuja katika sheria zetu kuhusu kuua na ushahidi wa muhusika katika mauaji.Hatuna utaratibu wa kutumia picha ya kuchorwa kwa muhusika.Wanasheria mtusaidie kwa hili
 
Kama waliomwona wanasema ndiye yeye wewe unataka nini tena? Picha imechorwa ndio lakini na waliomwona wanasema ndiye yeye wewe huamini? Mashahidi ni wale waliomwona.
 
Mtandao wa wauaji zanzibar unaanzia serikalini hivyo sishangai, FBI hawatapata ushirikiano
 
Kwanza kwa nini hii issue wapelekewe FBI? Kauawa Mmarekani Tanzania au Mtanzania Marekani?

Au ni urojorojo na ugoigoi tu kila kitu tufanyiwe na mjomba maana yeye anajua zaidi?
 
Back
Top Bottom