BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Mwendesha mashitaka Zanzibar amerudisha faili polisi na kuwaambia wamtafute muuaji wa Padri Mushi,kwani aliyekamatwa sii muuaji.Tatizo linakuja katika sheria zetu kuhusu kuua na ushahidi wa muhusika katika mauaji.Hatuna utaratibu wa kutumia picha ya kuchorwa kwa muhusika.Wanasheria mtusaidie kwa hili