FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jana ktk derby el Galacio Deportivo La Coruna wakiwa kwao estadio Riazor waliwachapa watani wao wa jadi Celta Vigo mabao 3-1,kesho FC Barcelona wapo Nou Camp vs Rayo Vallecano
 
Leo saa 5 usiku kwa saa za afrika mashariki mabingwa wa soka duniani na ulaya Spain watakuwa jijini Gijon ktk World cup qualifier vs Finland uwanja wa El Molinon
[h=1][/h]
 
[h=5]Tito Vilanova arrives in Barcelona. Welcome home!

Tito Vilanova arriba a Barcelona. Benvingut a casa!

Tito Vilanova llega a Barcelona. ¡Bienvenido a casa![/h]http://www.facebook.com/photo.php?fbid=10151659037594305&set=a.299455459304.180838.197394889304&type=1&theater
[h=5][/h]
 
Celta Vigo 2 Barcelona 2,Real Zaragoza 1 Real Madrid 1,Levante 1 Sevilla 0,Rayo Vallecano 1 Malaga 3,Valladolid 1 Osasuna 3
 
Jana Granada ikicheza nyumbani ilichapwa mabao 1-5 na Real Betis huku ikishuhudia Guilherme Madalena Siqueira wa Granada FC akila kadi nyekundu(ya pili njano) ktk dk 79
Leo wa kushoto yupo nyumbani Barcelona vs Mallorca,Sociedad vs Malaga,Real Madrid vs Levante,Deportivo vs Zaragoza
 
mambo yote jumanne tunapopambana na b.munich!!
kama kawa mtutundikie live coverage hapa,hapatalalika

barca forever
 
mambo yote jumanne tunapopambana na b.munich!!
kama kawa mtutundikie live coverage hapa,hapatalalika

barca forever

kweli hapalaliki leo kwi kwii!GUTIEREZ nakumbuka kawimbo haka ka Jabari la muziki Marijani Rajabu ngoja nikuimbie kukuliwaza swahiba,"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!
 
popiexo juve 2012 dah acheni tu ila tushapoa ni vijimambo tu wadau,ila we will die hard

barca forever
 
Last edited by a moderator:
kweli hapalaliki leo kwi kwii!GUTIEREZ nakumbuka kawimbo haka ka Jabari la muziki Marijani Rajabu ngoja nikuimbie kukuliwaza swahiba,"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!
Kuna nyimbo wameimba ni kheri ufe kwa kugongwa na Gari la ghorofa liendalo Ilala,kifo cha ......... ni kifo kibaya usikiombe kifo cha Munich,ila yote 9 usijali i dont care kama PSquare na Akon wanavyosema,nawaamini FC Barcelona watafanya mauaji ya kufa mtu Nou Camp.
 


Maaaviiii
 


Mauaji nimeyaona mkuu...
Haya jitokeze twende tukazike sasa
 
Kusikia kwa Kenge mpaka atoke damu puani
Kwasasa Baca imesikia maana ni aibu.....
 
Kocha hatuna,laana ya kumfukuza Pep Guardiola ni kama ya Real Madrid kumfukuza Vicente Del Bosque
Pep hakufukuzwa,alishaona team imefika kwenye peak kinachofatia ni kuporomoka akaamua bora akimbie
 
Kwani Guardiola mlimfukuza?
Mkuu bado uko usingizini ama?
Walimletea zengwe,hakufukuzae hakuambii toka,baada ya kupoteza mechi pale nou camp vs Real Madrid ikifuatiwa na kutolewa UCL na Chelsea akaanza kubebewa bango na Sandro Rossell kama kaishiwa mbinu ikatafutwa njia mbadala kutemwa kimtindo na kukabidhiwa mikoba Francesc Tito Vilanova i Bayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…