Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo yote jumanne tunapopambana na b.munich!!
kama kawa mtutundikie live coverage hapa,hapatalalika
barca forever
Kuna nyimbo wameimba ni kheri ufe kwa kugongwa na Gari la ghorofa liendalo Ilala,kifo cha ......... ni kifo kibaya usikiombe kifo cha Munich,ila yote 9 usijali i dont care kama PSquare na Akon wanavyosema,nawaamini FC Barcelona watafanya mauaji ya kufa mtu Nou Camp.kweli hapalaliki leo kwi kwii!GUTIEREZ nakumbuka kawimbo haka ka Jabari la muziki Marijani Rajabu ngoja nikuimbie kukuliwaza swahiba,"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!
Kuna nyimbo wameimba ni kheri ufe kwa kugongwa na Gari la ghorofa liendalo Ilala,kifo cha ......... ni kifo kibaya usikiombe kifo cha Munich,ila yote 9 usijali i dont care kama PSquare na Akon wanavyosema,nawaamini FC Barcelona watafanya mauaji ya kufa mtu Nou Camp.
Kuna nyimbo wameimba ni kheri ufe kwa kugongwa na Gari la ghorofa liendalo Ilala,kifo cha ......... ni kifo kibaya usikiombe kifo cha Munich,ila yote 9 usijali i dont care kama PSquare na Akon wanavyosema,nawaamini FC Barcelona watafanya mauaji ya kufa mtu Nou Camp.
Kocha hatuna,laana ya kumfukuza Pep Guardiola ni kama ya Real Madrid kumfukuza Vicente Del BosqueMauaji nimeyaona mkuu...
Haya jitokeze twende tukazike sasa
Kocha hatuna,laana ya kumfukuza Pep Guardiola ni kama ya Real Madrid kumfukuza Vicente Del Bosque
Pep hakufukuzwa,alishaona team imefika kwenye peak kinachofatia ni kuporomoka akaamua bora akimbieKocha hatuna,laana ya kumfukuza Pep Guardiola ni kama ya Real Madrid kumfukuza Vicente Del Bosque
Ndivyo mnavyojidanganya hivyo.Pep hakufukuzwa,alishaona team imefika kwenye peak kinachofatia ni kuporomoka akaamua bora akimbie
Walimletea zengwe,hakufukuzae hakuambii toka,baada ya kupoteza mechi pale nou camp vs Real Madrid ikifuatiwa na kutolewa UCL na Chelsea akaanza kubebewa bango na Sandro Rossell kama kaishiwa mbinu ikatafutwa njia mbadala kutemwa kimtindo na kukabidhiwa mikoba Francesc Tito Vilanova i BayoKwani Guardiola mlimfukuza?
Mkuu bado uko usingizini ama?