FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread




Messi alianza kuchezea la liga musimu wa 2004/05 ambapo mpaka sasa ana magoli 275. Ronaldo alijiunga na man u musimu wa 2003/04. Musimu wa kwanza alifunga magoli 4. Kuanzia musimu wa 2004/05 mpaka 2008/09 alifunga magoli 80. Ronaldo alijiunga na Real Madrid musimu wa 2009/10. Mpaka sasa amefunga magoli 207 kwenye la liga. Hivyo tangu musimu wa 2004/05 mpaka sasa Ronaldo ana magoli 287 katika ligi kuu wakati Messi amefunga magoli 275 kwa kipindi kama hicho. Kwa kigezo hicho kinachotenda haki kwa wote Ronaldo ni mkali wa mabao kuliko Messi.
 
Ronaldo ana wastani wa kufunga magoli 1.1 kwa kila mechi ya la liga, wakati. Messi ana wastani wa kufunga goli 0.9 kwa kila mechi ya la liga. Kwa kigezo hicho cha kitaalam Ronaldo ana kasi zaidi ya kufunga magoli kuliko Messi na kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kuchezea la liga. Ndiyo maana Ronaldo alivunja rekodi ya kufikisha magoli 100 kwenye la liga kwa kucheza mechi chache zaidi.
 
Hivi Neymar kawakosea nini mabeki?kila saa wanadusua ngoko zake.
 
huyu messi msije kumfananisha na yule mtia herini dah anawapiga matobo man city kama watoto wadogo
 
Ni majanga kwa wanaofukuzia nafasi ya nne EPL! Haina dili Tena nafasi ya nne itakuwa ni ya Eoropa cup moja kwa moja.
 
pe guardiola naona mapenzi yake na barca yapo kama kawaida yupo uwanjani anaangalia gem na ameshangilia goli la barca big up pep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…