FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

harafu kwanini kila uzi we upo, mara Arsenal, mara Barca, mara Chelsea.
We timu gani?

Hahahahaha!!! Umenifurahisha ALEYN!!! Nikiwa Uingereza timu yangu ni Man U, Hispania ni Barcelona, Italy si sana but As Roma nawapenda, Ujerumani mhh siwapendi lakin Bayern Munich huwa wananifurahisha,Ufaransa Monaco hahaha!! Ukiniona kwenye nyuzi za LFC,Chelsea, Arsenal nipo na watani wangu tunapakana rangi....
 
Last edited by a moderator:

Kwanini unakuwa na timu nyingi Mkuu, njoo spain ambapo mpira unachezwa na unafurahia radha ya soka.
karibu FC Barcelona.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unakuwa na timu nyingi Mkuu, njoo spain ambapo mpira unachezwa na unafurahia radha ya soka.
karibu FC Barcelona.

Asanteeee mimi huku ndo nyumbani ila Uingereza mashindano,kelele,ukuda mwingi,Tambo kibao ndo radha zinazonivutia zaidi kule.....
 
ahlaan wasahlaan...
sheikh nasikia umeuza simu na umekwenda kujitibu tezi Dume na ndo maana huonekani jamvini...???

Teh teh, me mbona kaniaga anaenda Catalunya kumshuhudia Messi akiwafanya mbaya malaika weupe
 
madr.jpgclass.jpg
 
baada ya madrid kugoma fainali ya copa kuchezewa santiago.sasa fainali itachezewa comp now huku kila timu ikipewa tikeke 40000
 
Back
Top Bottom