Haaahaa, dua la kuku halimpati mwewe. Msimu huu La Novena. Halafu mbona jukwaa lenu limepwaya sana.?
uzuri wa hii Thread hakuna umbea na udaku, kwahiyo tunaenda kiutu uzima zaidi. vipi kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa, dua la kuku halimpati mwewe. Msimu huu La Novena. Halafu mbona jukwaa lenu limepwaya sana.?
hii kupangwa na atletico madrid nimeipenda na mimi mkuu ukizingatia wale atletico wana kisasi kile ambacho real madrid waliwashinda katika final ya mwaka jana CL tena kwa secunde za mwisho leo hii nao wanataka wawalipe usishangae siku hiyo ramos na pepe kupewa red card kwa rafu zao watakazo cheza
Hapo sasa hawa watu wa Man Utd, wanacheza mpira utadhani Marathoni!!
Daah! Yaani hata kiingilio (£25) unaona kama umeibiwa. Soka Spain jomba.
hahahahahahahahaha nani anacheza kama Marathoni, naniiiiiii??????
hahahahahahahahahaha embu rudia tena mkuu, naniiiiiiiiii!!!!!!!!!!???????
haiajajahahahalalalagagggagagagatatatatnananamamamapopopopopopoooooo!!!!!
kuna yule beki wao miranda yule jamaa mnaya sana messi hua anampa tabu sana yule jamaa na huyu huyu koke na arda ukiachia kocha wao kichaa hhahaaaaaaaYaani pale mkuu ligongwa soka la hali ya juu sana, pepe na ramos mbona inafahamika lazima kadi itokeee, Ronaldo hatoweza kufurukuta kabisa, Bale anataka kuondoka Madrid na siku hizi mpira wake sio kama zamani.
Real hawezi tembea kwa Atletico, ntashangilia sana,.
kuna yule beki wao miranda yule jamaa mnaya sana messi hua anampa tabu sana yule jamaa na huyu huyu koke na arda ukiachia kocha wao kichaa hhahaaaaaaa
Bado dakika chache mpira uanze kati ya Barcelona na Almeria. Niitakie kila la heri Barca ishinde kwa kishindo, Messi nakutakia heri ya hat trick .......God bless Barca.
20' Barca 0-0 Almeria
ALEYN uko wapi au unasubiri mpka goli liingie? Barca go on we need to smile
34' Messsssssss what a goal
Mtoto wangu, nilijua Game saa 4 kamili. Anyway, sasa hivi nimeingia mtamboni.
Umeliona Goli, yaani mtu katoka upande wa kushoto nje ya box kasha kaingia nao na kupiga mpira kwa kuchinja, tuliochezaga mpira na kuoma chuo cha soka kama Barcelona tunayaita Curved Goal. Tulijifunza mengi sana tukiwa Academy ya Barcelona.