FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haaahaa, dua la kuku halimpati mwewe. Msimu huu La Novena. Halafu mbona jukwaa lenu limepwaya sana.?

uzuri wa hii Thread hakuna umbea na udaku, kwahiyo tunaenda kiutu uzima zaidi. vipi kwani?
 
hii kupangwa na atletico madrid nimeipenda na mimi mkuu ukizingatia wale atletico wana kisasi kile ambacho real madrid waliwashinda katika final ya mwaka jana CL tena kwa secunde za mwisho leo hii nao wanataka wawalipe usishangae siku hiyo ramos na pepe kupewa red card kwa rafu zao watakazo cheza

Yaani pale mkuu ligongwa soka la hali ya juu sana, pepe na ramos mbona inafahamika lazima kadi itokeee, Ronaldo hatoweza kufurukuta kabisa, Bale anataka kuondoka Madrid na siku hizi mpira wake sio kama zamani.
Real hawezi tembea kwa Atletico, ntashangilia sana,.
 
Hapo sasa hawa watu wa Man Utd, wanacheza mpira utadhani Marathoni!!

Daah! Yaani hata kiingilio (£25) unaona kama umeibiwa. Soka Spain jomba.

hahahahahahahahaha nani anacheza kama Marathoni, naniiiiiii??????
hahahahahahahahahaha embu rudia tena mkuu, naniiiiiiiiii!!!!!!!!!!???????
haiajajahahahalalalagagggagagagatatatatnananamamamapopopopopopoooooo!!!!!
 
Uwiiiiiii !! ALEYN utanikimbiza humu, ila kwa sababu nampenda Messi nitakuvumilia,Lol
 
Last edited by a moderator:
Yaani pale mkuu ligongwa soka la hali ya juu sana, pepe na ramos mbona inafahamika lazima kadi itokeee, Ronaldo hatoweza kufurukuta kabisa, Bale anataka kuondoka Madrid na siku hizi mpira wake sio kama zamani.
Real hawezi tembea kwa Atletico, ntashangilia sana,.
kuna yule beki wao miranda yule jamaa mnaya sana messi hua anampa tabu sana yule jamaa na huyu huyu koke na arda ukiachia kocha wao kichaa hhahaaaaaaa
 
Miranda nampata sana, dogo mmoja hivi kanaonekana kapoleee ila ni balaa.
 
Bado dakika chache mpira uanze kati ya Barcelona na Almeria. Niitakie kila la heri Barca ishinde kwa kishindo, Messi nakutakia heri ya hat trick .......God bless Barca.
 
Asante kwa taarifa ngoja niwashe laptop...
 
20' Barca 0-0 Almeria
ALEYN uko wapi au unasubiri mpka goli liingie? Barca go on we need to smile
 
Last edited by a moderator:
34' Messsssssss what a goal

Umeliona Goli, yaani mtu katoka upande wa kushoto nje ya box kasha kaingia nao na kupiga mpira kwa kuchinja, tuliochezaga mpira na kuoma chuo cha soka kama Barcelona tunayaita Curved Goal. Tulijifunza mengi sana tukiwa Academy ya Barcelona.
 
Mtoto wangu, nilijua Game saa 4 kamili. Anyway, sasa hivi nimeingia mtamboni.

Kumbe unazeka vibaya eh!! Haya karibu sana natazamia utaendeleza kutoa updates kabisa kwa wale wasiona
 
Umeliona Goli, yaani mtu katoka upande wa kushoto nje ya box kasha kaingia nao na kupiga mpira kwa kuchinja, tuliochezaga mpira na kuoma chuo cha soka kama Barcelona tunayaita Curved Goal. Tulijifunza mengi sana tukiwa Academy ya Barcelona.

Hahahaha hapa tu ndo sikuwezi, itabidi na mimi unipeleke hicho chuo...... lol
 
Back
Top Bottom