Ukiona Man City wanamtoa Yaya ujue washaelekea kibra...
Kwaheri ya kuonana ManCity jaribuni tena mwakani
Why jamani kila saa mnakosa Neymar, Messi tatizo nini?
Wanamuweka for future use in EPL teh teh!!!
Hart katuokoa sana
Wanamuweka for future use in EPL teh teh!!!
messi is man of the match today
ile ndizi kwenda kwa rakitic ilikuwa balaa!
waingereza wamebaki mashabiki tu...timu nne zote out!hakuna kuchekana...
huyo mganga wa city ni kiboko...
Yaani ni chiboko ungekuta Barca wana magoli kama kumi hivi,City wa mshukuru sana kipa wao....
Tukutane Ijumaa kwenye droo ya robo kuanzia SAA 8 mchana. Naiona El Clasico kwenye Uefa
Neno moja kwa Messi.
Shikamoo Messi !!