Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
-Nimeangalia BBC Swahili na habari za Star Tv sijaona wakitangaza hiyo habari, una uhakika ni kesho?
Ukiachana na Chelsea na Man City, hakuna club nyingine EPL wenye Beki kama Marc Bartra, sio Man U, Arsenal, Liverpool wala naniiiiii
dah kweli timu hii haina tofauti na Mji Mpwapwa.
kweli wakongwe wao wanakuja kimyakimya pasipo hata kujulikana?
dah nicheke mie kwi kwi kwiiiii
Dah, pole sana. Umeenda hospital lakini?
dobi wa kweli mpe Kaniki...
tutamuona siku akikumbana na Cavani na jeshi lake la Ardhini
kwi kwi kwi Mourinho ,juve2012 , zeroseventytwo mje muone chumba cha wagonjwa na wauguzi wakieana pole kama kipindi kileeee cha enzi zile RTD
Hahahaha!!! Daddy mapenzi yangu nilianza toka enzi zile tuko na Sir Alex Ferguson wewe mwenyewe unajua jinsi gani dunia ilivyokuwa ikifurahia soka zuri miaka hii kina Moyes wakatuharibia, si haba LVG anajitahid, bas Daddy ndo hivyo tena nilishapenda lakini si unaona sijasahau nyumbani angalau nina vichembe chembe vya Barca, mtoto wa nyoka ni nyoka usijal siku moja naweza kurud home mazima.
Mtani kumbe we bado mdogo enh???
Mtani mimi niko 55. Nitake radhi kabla sijahamishia kikojoleo chako usoni mchana kweupe.Mtani ni kweli ila si mdogo kihiivyo ni kama wewe hapo wajiita babu wakati hata 35 hujafika lol
Thubutuuuuuuuu!!! Walahi !! Huna miaka hiyo!!!Mtani mimi niko 55. Nitake radhi kabla sijahamishia kikojoleo chako usoni mchana kweupe.
Haya hebu nitabirie nikupe zawadi ya pipi....:welcome:Thubutuuuuuuuu!!! Walahi !! Huna miaka hiyo!!!
Haya hebu nitabirie nikupe zawadi ya pipi....:welcome:
-Majuzi nimeota Real Madrid anapigwa si chini ya 3 na Atletico Madrid.
jesuuuuuuuuuuuuus!!!!!!!!
Tatizo humu hamko sharp ndo maana mm najiendea England.... Mzima daddy? Net inanisumbua