FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daddy ndoto zako siyo au ndoto yako itakuwa ni Future tense lol....

Daddy leo tupo uwanjani unaizungumziaje mechi ya leo?

-Inawezekana ikawa ni future Dota.
-Mpira wa Jana Atletico hakuwa na plan za kushinda wala kucheza sana, sio kwamba alibanwa sana, hapana ila ni tactic ambayo inaweza ikaja kutumia next week endapo ndoto mipango yao utakamilika.
-Now Real ana presha kubwa sana maana kawekwa vibaya nyumbani kwake.

TURUDI NYUMBANI
-Leo Ibrahimovic hayupo, ni advantage kwa Barcelona.
-Nashauri kocha amwanzishe Jeremy Matheiu instead of Javier Mascherano ili wasipate magoli y vichwa.
 
Aleyn unaniangusha mzee... Hadi sasa hata picha za kiumbe wa ajabu hazipo humu!??? Kuwa fasta kama douta wako basi

Shindeni tu..
 
Last edited by a moderator:
Aleyn unaniangusha mzee... Hadi sasa hata picha za kiumbe wa ajabu hazipo humu!??? Kuwa fasta kama douta wako basi

Shindeni tu..

Muanzisha hii thread hajui majukumu yake.
 
Last edited by a moderator:
Trip to Paris!!!
 
Attachments

  • 1429105713197.jpg
    62.1 KB · Views: 44
  • 1429105750515.jpg
    51.8 KB · Views: 43
  • 1429105775202.jpg
    86.7 KB · Views: 44
  • 1429105873151.jpg
    71.9 KB · Views: 44
  • 1429106014862.jpg
    64.5 KB · Views: 41
  • 1429106054221.jpg
    75.8 KB · Views: 41
Safiii daddy wangu watu ndo sisi namna hii mapicha picha jukwaa Linapendeza .
 
Aleyn unaniangusha mzee... Hadi sasa hata picha za kiumbe wa ajabu hazipo humu!??? Kuwa fasta kama douta wako basi

Shindeni tu..

Sisi tunashinda bwana, sisi siyo kama watoto waliomzunguka refa............lol am sorry my friend.....
 
Last edited by a moderator:
-Dota, leo uwepo ktk mechi uangalie jinsi Messi anavyopagawisha watu.
-Bila kumsahau Neymar, hakuna beki wa pembeni wa kuzuia hizi winga.

Mimi tena daddy siwezi kosa mm penda Barca kama daddy angu.... Leo na Vampire naye atatupia....
 
Mimi tena daddy siwezi kosa mm penda Barca kama daddy angu.... Leo na Vampire naye atatupia....

-Sasa nipo nyumbani, nimetoka katika mihangaiko.
-Nipo macho muda wote kwenye hili jukwaa.
-Na mimi penda sana wewe Dota wangu, juzi ulipotea humu ndani nikakumiss mpaka nikahisi nimepungukiwa na damu mwilini.
 
Ila PSG ni wazuri jamani....mechi ya leo sio nyepesi

-Hakuna anayebisha kuwa PSG sio wazuri, hata Mourinho anakiri hili.
-Barca ni zaidi ya PSG, ule mpira aliocheza nao dhidi ya Chelsea leo hatacheza.
-Anakutana na watu ambao wao wamefundishwa soka wakiwa na miaka 6.
 
-Sasa nipo nyumbani, nimetoka katika mihangaiko.
-Nipo macho muda wote kwenye hili jukwaa.
-Na mimi penda sana wewe Dota wangu, juzi ulipotea humu ndani nikakumiss mpaka nikahisi nimepungukiwa na damu mwilini.

Pole sana leo usijali nitajaa humu tuombe uzima...
 
Mimi tena daddy siwezi kosa mm penda Barca kama daddy angu.... Leo na Vampire naye atatupia....
jina la vanmpire limeshakufa pale catalunya watu kwanza hufunzwa heshima kwa iyo jamaa yuke respect ule ujinga wa hasira hasira hanao tena na leo atatupia usiwe na wasi
 
jina la vanmpire limeshakufa pale catalunya watu kwanza hufunzwa heshima kwa iyo jamaa yuke respect ule ujinga wa hasira hasira hanao tena na leo atatupia usiwe na wasi

-hahahahahahaha
-Umesahau kumwambia Mavampire wapo EPL.
 
alenyn and everlink na watu8 jukwaa letu tulidumishe leo kwa update tusiliachie manaake wengine mpira ukishaanzatu hua hawaonekani humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…