everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
jina la vanmpire limeshakufa pale catalunya watu kwanza hufunzwa heshima kwa iyo jamaa yuke respect ule ujinga wa hasira hasira hanao tena na leo atatupia usiwe na wasi
Kwa kweli sasahivi amekuwa na adabu sana,hivi kiatu chake alichotengenezewa na Adidas ameshaanza kukivaa.......



