jina la vanmpire limeshakufa pale catalunya watu kwanza hufunzwa heshima kwa iyo jamaa yuke respect ule ujinga wa hasira hasira hanao tena na leo atatupia usiwe na wasi
alenyn and everlink na watu8 jukwaa letu tulidumishe leo kwa update tusiliachie manaake wengine mpira ukishaanzatu hua hawaonekani humu
hahahahahahahahaHahahaha!! Umeanza uchokoz wako ntakukimbia humu.......
-Ondoa Shaka Mkuu, Mario Mandzukic kapona na leo yupo uwanjani kama kawaida.
-Madrid 4 anaweza akakaa kama kawaida endapo ataendelea kucheza mpira wake ule ule dhidi ya Atletico.
-Mimi niliota Real Madrid kapigwa 3-0 na huku mpira ukiendelea.
-Real Madrid asahau kuondoka na ushindi mechi ya leo.
Kikosi kamili kilicho Ufaransa.
Ter Stegen, Bravo, Masip, Montoya, Piqué, Rakitic, Sergio,
Xavi, Pedro, Iniesta, Suárez, Messi, Neymar, Rafinha,
Mascherano, Bartra, Douglas, Jordi Alba, Sergi Roberto,
Adriano, Mathieu na Munir .
Sisi tunashinda bwana, sisi siyo kama watoto waliomzunguka refa............lol am sorry my friend.....
kwa taarifa nilizozipata hivi punde david luiz yuko katika list ila haijawa wa uhakika kua atacheza ila sisi barca hakuna atae mzuia king leo meeeeeeeeeeeessa !! leo ni kulala mtu tuu.
Mnaonaje line ikianza hivi
View attachment 243682
Wakuu hii gemu ningependa nisiiangalie home nina watoto watundu na wanachelewa kulala ila shemegi yenu anaweza kunifungia mlango nikaja kujikuta nalala nje hahaahahahahaaa!!!!!!