Tusipokuwa makini hapa tutapigwa counter attack
Fanya haraka mama... Mkubwa anavuliwa nguoooooo hadharani na hatak kuchutamaa
Ila huyu neymar wakati mwingine si mkalimu...
Mchoyo kama nini......
Tuache utani hawa PSG nao ni wazuri jamani. ...
huyu neymar anakera saa nyingine
huyu neymar anakera saa nyingine