b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa EMT bhana....Falcao hawezi ila huyo Zombi Suarez anaweza sn...alimtia jino mpk beki Wa Italy.....
Haya mkuu...
Bila shaka game ya pili hawatakuwa wasumbufu Camp Nou...
Haya mkuu...
Bila shaka game ya pili hawatakuwa wasumbufu Camp Nou...
Ukweli Suarez ni mashine nyingine. Kuna mtu kasema he may not be human but he is a god in football.
Kama Suarez angekuwa Mjerumani ile mechi kati ya Brazil na Ujerumani ingekuwa even worse kwa Luiz
![]()
Hivi si juzi tuu hapa mlikuwa mnamfagilia Luiz? Imekuwaje tena? David Luiz whether fit or not ni liability. Hata kama Silva angekuwepo, Luiz siyo beki yule.
Hata huku Porto tumeua mtu. 3-1. *****. Ila Suarez dah!! Kama kula watu kunafanya uwe top striker bora tuu Falcao amng'ate Ivanovic mech ijayo.
msije kumlaumu sana jiremy mathieu ile ni bahati mbaya jamaa namuamini sana tumemuona ile gem ya real madrid na barca alipiga bonge la goli ili goli alilojifunga mpira ulikua una kasi sana na yee aliogopa kipa hatoukamata ndio kaweka guu lake la kushoto matokeo yake amesababisha goli kuingia tatu ugenini ni nyingi wakuu pale camp nou lazima watupige 3 - 0 na hilo impossible
Gutierez alikuwa ktk mechi hizi mbili za uefa zilizohusisha waspaniola.Wapi gutierezi? Hii game ni 50/50.
Hongereni kwa ushindi huo, hahahaha una utani na Falcao... Mzizi wa LVG umekuwa mgumu kupita mwilini mwake, Suarez kawa mtam kama mcharooo
Messi alikuwa kimya jana eh?
Kuna mechi moja mtangazaji aliniacha hoi anatangaza mpira Argentina wakashambulia akasema its "two against four, but one of them is Messi" na Di Maria akafunga kwa pande la Messi. Nilichoka.
shuti la mwanzo lilipigwa na king leo messi likaenda kugonga mtandaa panya goli la neymar assit ni king leo sasa huyo anaesema hakufanya lolote ni chuki tu za kibinafsi na hata akifunga atasema alipewa pasi na xiavi au anabebwa na iniesta na xiaviHahahaha !!! Huyo mtangazaji ana vituko sana, huyo atakuwa team Messi.
Messi hakuwa kimya alifanya mengi mazuri hakubahatika goal tu, goal la Neymar ni assist yake nzuri, pia alikuwa anatoa amsha amsha kny timu,alijitahidi kupanda na kushuka vizuri.
Hahahahahah... Kuna mechi inabidi uwe mpoleeee
Valencia sio Psg ya Luiz