FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Heheh sare ya jeshi au ya wapishi...

Eti mlitolewa kwa kuwa mlipigwa sana kiatu?

Naona Ntuzu anakimbia swali la msingi ambalo linatokana na utetezi wa Viol

Sare ni ya jeshi tu.. Nyingine urembo ata raia mnaruhusiwa kuvaa.. Vaa hizi tukupashe joto misuli yako..

PSG alipita kwa bahati tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa EMT bhana....Falcao hawezi ila huyo Zombi Suarez anaweza sn...alimtia jino mpk beki Wa Italy.....

Ukweli Suarez ni mashine nyingine. Kuna mtu kasema he may not be human but he is a god in football.

Kama Suarez angekuwa Mjerumani ile mechi kati ya Brazil na Ujerumani ingekuwa even worse kwa Luiz

nilisema hapa kwamba huyu suarez ule upuuzi wa hasira tayari alisha uwacha pale tu alipokuja catalunya saa hivi yuko na heshima na ndo maana anafanya vizuri huyu dogo neymar sifa zinamchanganya ndo maana kocha hua anamtoa hongera kwa ushindi wa leo tumesha mla pweza mkia amebaki demba pale camp nou ndo tuna maliza kila kitu
visca baaarca
 
msije kumlaumu sana jiremy mathieu ile ni bahati mbaya jamaa namuamini sana tumemuona ile gem ya real madrid na barca alipiga bonge la goli ili goli alilojifunga mpira ulikua una kasi sana na yee aliogopa kipa hatoukamata ndio kaweka guu lake la kushoto matokeo yake amesababisha goli kuingia tatu ugenini ni nyingi wakuu pale camp nou lazima watupige 3 - 0 na hilo impossible
 
Haya mkuu...

Bila shaka game ya pili hawatakuwa wasumbufu Camp Nou...

Wanaweza kuwa wasumbufu Mkuu kwasababu naona timu zikwa away zinafanya vzr kuliko zikiwa nyumbani.. PSG wanaweza kuifunga Fc Barc Camp Nou lkn hawatoweza kusonga mbele.
 
Ukweli Suarez ni mashine nyingine. Kuna mtu kasema he may not be human but he is a god in football.

Kama Suarez angekuwa Mjerumani ile mechi kati ya Brazil na Ujerumani ingekuwa even worse kwa Luiz

Hahahahaaa huyo alikwenda mbali sn...kumpa uungu tena Zombi?!!
 
Hongereni kwa ushindi huo, hahahaha una utani na Falcao... Mzizi wa LVG umekuwa mgumu kupita mwilini mwake, Suarez kawa mtam kama mcharooo
 
umenena vyema mkuu
 
Hii duo ya Messi na Neyamr ikiendelea hivi hivi itakuja kuwa duo isiyosahaulika ktk ulimwengu wa soka pale Barcelona.
Kama Eto'o na Gaucho. Na iwe hivyo kwa Messi na Neymar.
 
Hongereni kwa ushindi huo, hahahaha una utani na Falcao... Mzizi wa LVG umekuwa mgumu kupita mwilini mwake, Suarez kawa mtam kama mcharooo

Messi alikuwa kimya jana eh?

Kuna mechi moja mtangazaji aliniacha hoi anatangaza mpira Argentina wakashambulia akasema its "two against four, but one of them is Messi" na Di Maria akafunga kwa pande la Messi. Nilichoka.
 
Hahahaha !!! Huyo mtangazaji ana vituko sana, huyo atakuwa team Messi.

Messi hakuwa kimya alifanya mengi mazuri hakubahatika goal tu, goal la Neymar ni assist yake nzuri, pia alikuwa anatoa amsha amsha kny timu,alijitahidi kupanda na kushuka vizuri.
 
shuti la mwanzo lilipigwa na king leo messi likaenda kugonga mtandaa panya goli la neymar assit ni king leo sasa huyo anaesema hakufanya lolote ni chuki tu za kibinafsi na hata akifunga atasema alipewa pasi na xiavi au anabebwa na iniesta na xiavi
 
Aleyn na chebi leo tuko uwanjani na Valencia tafadhali msikose saa 17:00 pm, Aleyn mapicha picha kunogesha jukwaa, leo dauta wako England nina kibarua kizito japokuwa ntakuwa na kimuhe muhe ila hapa nyumbani sitakosekana. All the best Barca usifanye upuuzi kama last week wa kugawana point.......
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah... Kuna mechi inabidi uwe mpoleeee

Valencia sio Psg ya Luiz
 
Last edited by a moderator:
Aleyn uko wapiiiiiii sioni updates mapicha picha ya maandalizi wapi??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…