FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bravo unawezaje kuangalia mpira bila hata ya kuruka?
 
hawa valance wabaya un akumbuka ile gemu ya away ilikua tu imebaki sekunde moja mpira kuisha king akafanya mambo yake na sergio ndio akatupâtia 3points na leo hii lazima barca wasishambulie sana la si hivyo hawa jamaa watakuja kutudhuru
 
Huyu Dogo Neymar mjinga kweli, mbwembwe nyingii kisga anaporwa mpira kizembe.
 
Messi anatafuta Goal kwa nguvu zake zote ila jamaa wanakaza.
 
Tulikuwa nyumbani kwanza...

Yanga kaharibu mood kimtindo ingawaje kuchapwa kwa Mkia kidogo kumeleta ahueni...

Na mlianza vizur kweli tukasema mambo si hayo wawakilish wetu wa ukweli, hapo mikia umenivuruga kidogo naomba Barca wanipe raha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…