ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Safiii dady wangu Aleyn leo umekuwa sharp hadi raha zimwage picture kibao kupendeze humu.
Dady usiwachukie hivyo RM hao ndo wanatufanya tuwe juu bila hao kina Messi tungewaona si lolote au umesahau dady ile methali usijisifu kwa mbio ulio nazo msifie na anayekukimbiza.........lol
Dotta nmekumiss!!!!
Nami zaidi Daddy sasa nina nguvu baada ya kile kichapo acha tu......leta mapicha tufurahi humu usisahau na kuweka vikosi vya leo....
Daddy nimeskia leo Silva yupo na Valeti ,inabidi tujipange sana maana nao wanasema zile bao wanataka zirud waingie kwa nusu fainali....
KUELEKEA MECHI YA REAL MADRID v ATLETICO MADRID
-Benzema Majeruhi hatokuwepo.
-Marcelo ana kadi mbili za Njano, kwahiyo atakuwa jukwaani akiangalia wenzao wanavyokalishwa.
-Gareth Bale majeruhi kwa wiki mbili.
-Modric nje kwa mwezi mmoja na wiki mbili.
JUMATANO TUJITOKEZE KUMSHABIKIA ATLETICO MADRID ILI ATOKE NA USHINDI MZITO.
Mimi naamini kwa majeruhi haya, hata ktk League atapata matokeo mabaya.
Ingekuwa hiari yangu hii timu ningeipeleka Italy, Siipendi vibaya mno.
Kwa sababu hupapendi sana Italy, au?
hahahahahahahaha!!!!
hahahahahahahahahahaaha eti una nguvu baada ya kile kichapo cha Chelsea, hahahahahahahhahahahahahahaha!!!!!!!!!!! Nkikunbuka nacheka sana ndo maana nkaamua ninyamaze kule kwa PM.
-Leo ndo tunampiga mtu kisha tunamsubiri Porto.
-Juve tunawasubiri final.
Ngoja nikawatafute wababe wako kule buguruni maeneo ya kimboka waje wakupige tena roba
Wale Porto hawana adabu wale, me siwataki kabisaaa
Wale Porto hawana adabu wale, me siwataki kabisaaa
Soka mchezo wa ajabu sana wengi wetu tulipoona ratiba ya UEFA Robo fainali tulisema Bayern kaokota dhahabu kariakoo matokeo yake ikawa vice versa, nilikuwa nafatilia maongez yao wanapromise kwamba yale magoli yanarud na cha kutia moyo naona majeruhi yao yamerudi.... Leo hatumwi mtoto dukani....... Duh!! Na kesho unga robo usicheze mbali nitakuja kama kawaida kukupa sapot.
-Porto waliwaokota Bayern wakiwa majeruhi.
-Na mpaka leo bado majeruhi ila kwa leo ngoma itakuwa si mchezo Allianz Arena ijapokuwa mimi naona safari imeiva ya Bayern.