Karibu pale Emirates siku ya j2 saa 12 jioni uone Yule babu Wenger ule ugonjwa Wa kuanguka unarudi.
hahahaahahahahaahahahahahahahahahaahahhaahhaaha, ujana mambo ya moto. Kipindi hiko niliomba hadi nauli, nikaapa nitamrudishia, na namba zangu akachukua basi ikawa kimyaaaa. Jamaa kila akinitafuta nikawa nampotezea
Kwahiyo unamtaka nani?
Soka mchezo wa ajabu sana wengi wetu tulipoona ratiba ya UEFA Robo fainali tulisema Bayern kaokota dhahabu kariakoo matokeo yake ikawa vice versa, nilikuwa nafatilia maongez yao wanapromise kwamba yale magoli yanarud na cha kutia moyo naona majeruhi yao yamerudi.... Leo hatumwi mtoto dukani....... Duh!! Na kesho unga robo usicheze mbali nitakuja kama kawaida kukupa sapot.
Ulikua na tabia mbaya lol, fanya umtafute umpe bia tatu na misimbazi hata miwili, huoni aibu dota anakusikia? everlenk unajua huyu daddy wako kilimpata nini mpaka akapigwa roba huko buguruni?
Siangaliagi EPL, hata Game ya Chelsea na Man U niliombwa tu kuangalia sababu niliambiwa Man U kabadilika.
Siangaliagi EPL, hata Game ya Chelsea na Man U niliombwa tu kuangalia sababu niliambiwa Man U kabadilika.
Bayern walipatwa na dhahma ya mreno, that's all I know, hakuna anayejua kuwa hao majeruhi wangekuwepo matokeo yangekua mengine
Majeruhi wao wamerudi hivi, sio wameongezeka?
Karibu sana JF's sports lady of all time, karibu sana kwa Majuventini, you're such a darling everlenk
Ulikua na tabia mbaya lol, fanya umtafute umpe bia tatu na misimbazi hata miwili, huoni aibu dota anakusikia? everlenk unajua huyu daddy wako kilimpata nini mpaka akapigwa roba huko buguruni?
Teh teh teh, nitagombana na swahiba buree, eti Aleyn nisemee?
Siangaliagi EPL, hata Game ya Chelsea na Man U niliombwa tu kuangalia sababu niliambiwa Man U kabadilika.
hahahahahahahahahaha taratibu mtu mzima mwenzangu, mimi na wewe tumetoka mbali.
Bayern walipatwa na dhahma ya mreno, that's all I know, hakuna anayejua kuwa hao majeruhi wangekuwepo matokeo yangekua mengine
Majeruhi wao wamerudi hivi, sio wameongezeka?
Karibu sana JF's sports lady of all time, karibu sana kwa Majuventini, you're such a darling everlenk
Thank you so much.....
My pleasure
Umeona daddy wako kanisihi nimtunzie siri yake? Basi hii story iweke pending, tutakua tunaitumia kama blackmail kumlazimu mshua wako aangalie EPL
-Dota wangu mjanja mjanja sana kama mama yake yaani.
-Ila mama yake sitaki aje sababu ya watu kama nyie
-Naona mwishoni umeweka vikorombwezo kuhusu mtoto wangu, mambo hayo ndo yanafanya sitaki mke aje huku.
-Hahahahahahaha yaishe, tuachane na hayo.Tabu yako ndugu yangu bado hujakua mazima, bado una chembechembe za zile akili za kibuguruni 😜
Binti yako ni mtu safi sana na she deserves every credit she gets, angalia comments nyingi za wanasports wa JF utaona wengi kama sio wote wanamkubali sana bintiyo, ila tu kwa sababu ni buluda kasema hayo basi imekua nongwa, lol
Lakini pamoja na hayo mzee mwenzangu, ukiwa na binti tegemea kuitwa Mkwe
-Hahahahahahaha yaishe, tuachane na hayo.
-Pogba anarudi lini?
-Barca nao wameingia ktk mbio za kukamata sign ya huyu dogo, itakuwa ni vizuri sana coz anaenda kuziba pengo la Iniesta, mpaka sasa Barca safu ya kiungo ikitokea majeruhi basi imekula kwetu.
-Tunamhitaji sana huyu jamaa. Akija Barca namba atapata, tangu kuondoka kwa Guardiola timu imeacha mambo ya Ukatalunya.
-Laiti angekuwa Pep sidhani kama hata Neymar au Suarez wangecheza mechi nyingi kama Luncho anavyofanya. Tungeshuhudia mmoja wapo anakaa bench huku Pedro akianza.
My pleasure
Umeona daddy wako kanisihi nimtunzie siri yake? Basi hii story iweke pending, tutakua tunaitumia kama blackmail kumlazimu mshua wako aangalie EPL