Pogba hakuna taarifa zozote zinazoonesha kwamba atarudi hivi karibuni, taarifa za mwanzo zilisema atakua nje mpaka mwezi May
Karibuni mtuletee mpunga tu, lakini nyie si mna ile ban ambayo hamuwezi kusajiri kwa sasa? Labla abaki mpaka msimu ujao ndio mtampata lakini kwa namna ambavyo mafisi wanammendea, itakua miujiza kama hatoondoka msimu huu
Kwa kweli ukiwaondoa wale watatu wakali pale mbele, then Iniesta, Bosquest na Rakitic, mna team ya kawaida sana asee na Iniesta kachoka sana ndio maana anaumiaumia kila mara, bila usajiri msimu ujao mtakuwa na wakati mgumu sana