FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

-Dota wangu mjanja mjanja sana kama mama yake yaani.
-Ila mama yake sitaki aje sababu ya watu kama nyie
-Naona mwishoni umeweka vikorombwezo kuhusu mtoto wangu, mambo hayo ndo yanafanya sitaki mke aje huku.

Haaaaa daddy acha unazi bana!!! Shauri yako bora hata huku dady kuliko kule wanaita kitabu uso kama yuko kule mumy watamuiba watoto wa kitabu uso ni balaa, lol
 
mo.jpgmod.PNGpic.jpg
 
Asante sana chebi kwa picha karibu sana humu.....hope leo tunaelekea nusu fainaly bila ubish......
 
Last edited by a moderator:
Pogba hakuna taarifa zozote zinazoonesha kwamba atarudi hivi karibuni, taarifa za mwanzo zilisema atakua nje mpaka mwezi May
Karibuni mtuletee mpunga tu, lakini nyie si mna ile ban ambayo hamuwezi kusajiri kwa sasa? Labla abaki mpaka msimu ujao ndio mtampata lakini kwa namna ambavyo mafisi wanammendea, itakua miujiza kama hatoondoka msimu huu
Kwa kweli ukiwaondoa wale watatu wakali pale mbele, then Iniesta, Bosquest na Rakitic, mna team ya kawaida sana asee na Iniesta kachoka sana ndio maana anaumiaumia kila mara, bila usajiri msimu ujao mtakuwa na wakati mgumu sana

-Suala la kuwa na Ban ni la kawaida, wanasheria wanajua wanafanyaje kuhusu hilo kwenye mkataba utakaoandikwa.
-Iniesta ni pancha ileeee, sijui kwanini marehemu Tito Vilanova aliruhusu Thiago Alcantara kuondoka.
-Thiago na Rafinha ni zao zuri sana, sasa huyu Luis Erique awaangalie akina Munir na Sandro pamoja na Rafinha tuliowapa ili awakuze.
 
PSG wakiwa mazoezini Camp Nou
 

Attachments

  • 1429629639993.jpg
    1429629639993.jpg
    95.8 KB · Views: 56
  • 1429629682805.jpg
    1429629682805.jpg
    65.2 KB · Views: 60
  • 1429629711292.jpg
    1429629711292.jpg
    63.2 KB · Views: 54
  • 1429629744260.jpg
    1429629744260.jpg
    137.6 KB · Views: 52

Attachments

  • 1429629855106.jpg
    1429629855106.jpg
    84.2 KB · Views: 57
  • 1429629949834.jpg
    1429629949834.jpg
    77.7 KB · Views: 59
  • 1429630036726.jpg
    1429630036726.jpg
    71.2 KB · Views: 56
  • 1429630059823.jpg
    1429630059823.jpg
    54.7 KB · Views: 55
Last edited by a moderator:
Hawa cha msingi ni kuwachapa goli la mapema ili kuwavunja moyo chebi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom